Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

Hivi tukio la yeye kufukuzwa kisa activism na tupo kwenye uchaguzi (tunatazamwa) siyo ni kiashirio cha hovyo kwa nchi na taasisi mbalimbali?
Chukulia may be CCM ni client wao halafu yeye kama mwajiriwa anaanza kuiporomoshea Matusi CCM
Halafu CCM wanaondoka na ndio wateja wakubwa unategemea mshahara utatoka wapi si unaua kampuni.
 
Oct 28 2020 uhuru makini day, kila mwenye lake jambo tukutane tarehe hio,kung’oa hii mizizi ya fitina inayosababisha yote haya.
 
Chukulia may be CCM ni client wao halafu yeye kama mwajiriwa anaanza kuiporomoshea Matusi CCM
Halafu CCM wanaondoka na ndio wateja wakubwa unategemea mshahara utatoka wapi si unaua kampuni.
Mtazamo wako upo sahihi. Ila mimi nimeongelea timing za hii fukuza na sababu iliyoainishwa hapo.
 
Kuna baadhi ya post zake unaweza kutamani kulia na kujiuliza huyu alikuwaje wakili? Safi sana, nimefurahi alivyofukuzwa
 
Back
Top Bottom