Fastjet: Basi linalopaa angani

Fastjet: Basi linalopaa angani

Fastjet mna vitimbi vya kutosha aisee, yaani hapo CALL CENTRE ukiuliza kitu kwa KIINGEREZAi shida nyingine tena maana hutaambulia jibu la maana zaidi ya kukatiwa simu!! Shida ni nini????? JIBU... Elimu Elimu Elimu (in Lowassaz voice)
 
Katikati ya January nilikata tiketi ya Dar-Mbeya-Dar nikafika Mbeya fresh siku ya kurudi jioni nafika Songwe naambiwa kutokana na hali ya hewa safari haipo mpaka kesho na wao hawahusiki na lolote kuhusu wateja wao tena kwa lugha ya dharau kabisa kwa kua wa-Tz wapole tukaondoka.
 
ukitaja neno uswahili, unanipeleka kwa wahudumu wa five star hotel hapa Tanzania, yaani wavivuu, hawajiongezi, full kuzembea na umwinyi mwingi.
 
mimi nilishawahi kusafiri na ndugu zangu toka taifa teule la somalia aisee walikuwa wanajjammba njia nzima Johannesburg to Dar zaidi ya masaa 3 mtu anashusha harufu ya samawiti/chanikiwiti, ndege ilikuwa imejaa vinginevyo ningehama siti
 
Wasomali na wamanga (waarabu) ni kawaida sana kuchafua hali ya hewa sijui kwa sababu ya chakula ama mambo ya DAWASCO (mfereji maji taka)
 
Naona bombardier wanaanza kutafuta soko kwa kuponda upande wa pili
 
Natumaini wengi wetu tumepata bahati ya kupaa na Fastjet katika maeneo tofauti hawa jamaa kwa kweli wahudumu & huduma ndani ya ndege ni za kusikitisha yaani utafikiri umepanda basi la abiria.

Iweje huduma ambazo wanalipisha ukimpa hela kubwa (ya chenji) harudishi na huyo mhudumu hutamuona tena moaka unashuka kwenye ndege sijui hata wanaendaga kujifungia wapi.

Nimesafiri sana na hawa jamaa hasa KIA-DAR, DAR- MBEYA na DAR - MWANZA kila ukiwapa hela ya chenji hsabu maumivu, ukijidai kuuliza swali kwa kiingereza ndo umemkimbikiza mazima anazuga HOLD ON ndo anajidai bizeeee anakupita kama hakujui mpaka ndege inatua. ukienda ofisin kwao Daah Hatareee.

Ndugu zanguni Fastjet badilikeni

Ok, tumefahamu unasafari na Locals zaidi. Asante
 
mimi nilishawahi kusafiri na ndugu zangu toka taifa teule la somalia aisee walikuwa wanajjammba njia nzima Johannesburg to Dar zaidi ya masaa 3 mtu anashusha harufu ya samawiti/chanikiwiti, ndege ilikuwa imejaa vinginevyo ningehama siti
panda ET safari ndefu ujute kuzaliwa.
 
ET nayo inazoa sana wachovu wachovu yaani ni vurugu mechi ni kama vile umepanda CHAMPIONI to Dodoma.
 
Natumaini wengi wetu tumepata bahati ya kupaa na Fastjet katika maeneo tofauti hawa jamaa kwa kweli wahudumu & huduma ndani ya ndege ni za kusikitisha yaani utafikiri umepanda basi la abiria.

Iweje huduma ambazo wanalipisha ukimpa hela kubwa (ya chenji) harudishi na huyo mhudumu hutamuona tena moaka unashuka kwenye ndege sijui hata wanaendaga kujifungia wapi.

Nimesafiri sana na hawa jamaa hasa KIA-DAR, DAR- MBEYA na DAR - MWANZA kila ukiwapa hela ya chenji hsabu maumivu, ukijidai kuuliza swali kwa kiingereza ndo umemkimbikiza mazima anazuga HOLD ON ndo anajidai bizeeee anakupita kama hakujui mpaka ndege inatua. ukienda ofisin kwao Daah Hatareee.

Ndugu zanguni Fastjet badilikeni
Dah!sie wengine ndege tunaziona tu angani hata huduma zipatikanazo humo sizijui!!
 
Dk 50 umefika uendako. Haya ni maumivu ya kujitakia. Walau ingekuwa 3hrs hewani unaweza kujustfy hilo la huduma
 
Hayo ya chenji yamenikuta humo, nilisamehe buku mbili bila kupenda, fast jest jiongezeni bana!
Inabidi wawalipe vizuri,hii ndio sababu kubwa ya kubana maslahi kwa wafanyakazi.
 
Keep chenj mawinguni hakuna vijiwe vya kuombea chenji
 
Kweli tupu. Crew wengi wa fast jet kiingereza mgogoro.hata yale maelezo ya jinsi ya kufunga mkanda na kujiokoa anasoma kwenye karatasi lakini Bado anachapia.ishu ya chenji ni Kweli pia.
Kiingereza cha nn ukiteka nenda CNN we jali kufika ,
 
Back
Top Bottom