and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,104
fastjet kwa mwanza wamewamaliza kabisa PW maana wasukuma wanakwea pipa utafikiri mashindano, sasa fastjet anzisheni MWANZA to NAIROBI na DAR-NAIROBI
Kaka acha kutetea ujinga,mm nauza vocha ila hata ukitaka voda rusha ya 200 ukanipa elfu10 chenji ntawapa hata kama muwe kumi napata wapi chenji? Naenda mapema bank naomba chenji hakuna kutegemea huruma za mangi sasa hilo shirika kubwa hivo wanashindwa?
Natumaini wengi wetu tumepata bahati ya kupaa na Fastjet katika maeneo tofauti hawa jamaa kwa kweli wahudumu & huduma ndani ya ndege ni za kusikitisha yaani utafikiri umepanda basi la abiria.
Iweje huduma ambazo wanalipisha ukimpa hela kubwa (ya chenji) harudishi na huyo mhudumu hutamuona tena moaka unashuka kwenye ndege sijui hata wanaendaga kujifungia wapi.
Nimesafiri sana na hawa jamaa hasa KIA-DAR, DAR- MBEYA na DAR - MWANZA kila ukiwapa hela ya chenji hsabu maumivu, ukijidai kuuliza swali kwa kiingereza ndo umemkimbikiza mazima anazuga HOLD ON ndo anajidai bizeeee anakupita kama hakujui mpaka ndege inatua. ukienda ofisin kwao Daah Hatareee.
Ndugu zanguni Fastjet badilikeni
Naona fastjet si nafuu tena kama wanavyodai

Hv karibuni fastjet wamekuja kupandisha bei ajabu
Kweli tupu. Crew wengi wa fast jet kiingereza mgogoro.hata yale maelezo ya jinsi ya kufunga mkanda na kujiokoa anasoma kwenye karatasi lakini Bado anachapia.ishu ya chenji ni Kweli pia.
Eti siti za kusimama!!!!!!!Fastjet hawana makosa....jina linajitosheleza airline ya safari fupi na budget airline, next time nenda na change yako, kibongobongo wanajitahidi, Ulaya wana budget airline kama EasyJet na Rynair wanatengeneza siti za kusimama kama basi za mbagala
mkuu uliloga hapo ulipoamua kuongea kiingereza. wengi wa wahudumu wa mule ni form 4 failure na ajira za mule zimekaa kujuana Juana ktk kubana matumizi si unajua tena BUDGET AIRLINE