and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
Fastjet wana wadada wazuri balaa tena wanavaa vzr (ovyo) balaa
Halafu ukute kapata tiketi ya elfu 40...Watanzania muwe na shukrani wakati mwingine. Sisemi kuchikichia na chenji za wananchi ni jambo jema lakini wakati mwingine mnawatega bure. Unanunua bites za buku mbili jero then unaangusha hapo msimbazi safari ya dk50. Na mko angani.hamna kibanda cha mangi huko juu eti tuseme ataenda kuomba chenji mara moja. I think it is a professional of telling you guys that they are really sorry n that they cant provide a change so tembea zako huko lakini siku nyingine uje na chenji kamili.
Lets be considerate kidogo basi heeeeeeee!!
Hapo kwenye cancellation kama zipo wajirekebishe lakini habari habari ya chenji abiria nanyi muwe waelewa... unatoaje buku kumi wakati unajuwa kwenye probability ya chenji upo uwezekano wa kutokuwa nayo... pandeni na moa miafastjet kiukweli mnatuboa sana hebu fikirieni mbona mnaleta uswahili wa ajabu ajabu hivi? mbona mlianza vizuri? kila mara utasikilia delay masaa 7, cancellation, refund? mmelewa sifa? Wafunzeni pia wafanyakazi wenu jinsi ya kuongea na wateja
Kweli tupu. Crew wengi wa fast jet kiingereza mgogoro.hata yale maelezo ya jinsi ya kufunga mkanda na kujiokoa anasoma kwenye karatasi lakini Bado anachapia.ishu ya chenji ni Kweli pia.
Hahaaa sio kwamba kutoa tabasamu ni sehemu ya kazi !!Tena wahudumu wa kike wa fast jet ni wanajilengesha kwa wanaume
. Sijui kwa sababu mishahara midogo?
hiyo kali kuliko.Fastjet mmeuanza huu mwaka kwa vitimbi haswaa nimekata tiketi ya KIA-MWZ-KIA nyie mkaamua kunirushia tiketi ya DAR-KIA-DAR nawapigia simu mnagomba duu!! hatari hii kwenye biashara kama yenu kwa hiyo nibadilishe safari kisa nini?