and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
fastjet jirekebisheni
Huyu alitaka tu tujue kuwa nae anapanda FJMbwembwe tu kwani ukifika airport unywe soda yako na keki adu ndo ukapanda kuna tatizo gani?
Ndugu kama Huna pesa bora kukaa kimyaHivi safari isiyozidi masaa mawili unanunua nunua vyakula au vinywaji vya nini?
Boeing 787 likipiga trip mbili kwa siku Dar-KIA-Mwanza unategemea Fastjet atabaki salama?Nataarifiwa FN hali yao imebana baada ya ATC kuingiza matoleo mapya.
Asante kwa ushauri mkuu. Nikipata malipo yangu ya korisho na mimi nitapanda ndege nione kama nitahitaji kununua chochote humoNdugu kama Huna pesa bora kukaa kimya
DAR -MWANZA UNAKULA?Natumaini wengi wetu tumepata bahati ya kupaa na Fastjet katika maeneo tofauti hawa jamaa kwa kweli wahudumu & huduma ndani ya ndege ni za kusikitisha yaani utafikiri umepanda basi la abiria.
Iweje huduma ambazo wanalipisha ukimpa hela kubwa (ya chenji) harudishi na huyo mhudumu hutamuona tena moaka unashuka kwenye ndege sijui hata wanaendaga kujifungia wapi.
Nimesafiri sana na hawa jamaa hasa KIA-DAR, DAR- MBEYA na DAR - MWANZA kila ukiwapa hela ya chenji hsabu maumivu, ukijidai kuuliza swali kwa kiingereza ndo umemkimbikiza mazima anazuga HOLD ON ndo anajidai bizeeee anakupita kama hakujui mpaka ndege inatua. ukienda ofisin kwao Daah Hatareee.
Ndugu zanguni Fastjet badilikeni