franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,400
- 1,451
Natumaini wengi wetu tumepata bahati ya kupaa na Fastjet katika maeneo tofauti hawa jamaa kwa kweli wahudumu & huduma ndani ya ndege ni za kusikitisha yaani utafikiri umepanda basi la abiria.
Iweje huduma ambazo wanalipisha ukimpa hela kubwa (ya chenji) harudishi na huyo mhudumu hutamuona tena moaka unashuka kwenye ndege sijui hata wanaendaga kujifungia wapi.
Nimesafiri sana na hawa jamaa hasa KIA-DAR, DAR- MBEYA na DAR - MWANZA kila ukiwapa hela ya chenji hsabu maumivu, ukijidai kuuliza swali kwa kiingereza ndo umemkimbikiza mazima anazuga HOLD ON ndo anajidai bizeeee anakupita kama hakujui mpaka ndege inatua. ukienda ofisin kwao Daah Hatareee.
Ndugu zanguni Fastjet badilikeni