Thomas Odera
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 673
- 155
Kwaheri kamanda umetutangulia nasi tuko nyuma tunakuja, sina namna ya kuelezea msiba huu maana kwa namna ratiba yake ya kazi ilivyokuwa jana kwa kweli ni mpiganaji aliyefariki akiwa katika harakati za kujiletea maendeleo ya familia na Taifa kwa ujumla. Tuko pamoja na familia yake ktk kipindi hiki kigumu na Mungu awape moyo wa subira