Fao la kujitoa lafutwa rasmi

Fao la kujitoa lafutwa rasmi

Bima ya afya ndio itatoa mtaji ili mtu ajiajiri?

Kwani ni lazima mtu contract ikiisha akatafute kazi ingine?

Mtu apewe jasho lake na kujiajiri, Sasa Mnalamishe watu waugue tu, It is nonsense to replace withdraw benefit

Huyu Mtu anae jinadi mtetezi wa wanyonge na mseka kweli, does it sound any way?
 
1😛esa za rambi rambi Kagera
2😛esaza rambi rambi Arusha
3: Pesa wa wafanyakazi fao lake aliloweka kumlinda
4: Utitiri na kodi za kupitiliza
5:Faini na makusanyo ya Trafiki
6: Kodi ya reli

Eh Mungu tuokoe na hizi dhuluma!

Msema kweli na Mtetezi wa Wanyonge - Opposite is truth

Kukandamiza biashara na kuuwa biashara ili matajiri waishi kama mashetani
 
Mkuu hilo group la WhatsApp lenye kuchukua watu 250?!!!!!!

Toa wazo lako, wafanyakazi wafenye nini?

Hayo ni maoni yangu ili kuwaunganisha wafanyakazi ili kujadili hili tatizo kwa pamoja na kwa mpigo

Sasa wewe umekosoa tu, hujatoa wazo ili kusaidia wanyonge
 
Mkuu acha basi drama, magroup ya whatsapp?

Acha ujinga basi, sasa wewe wazo lako chanya ni lini? umekosoa wazo langu...toa wewe wazo lako basi...Kilazer wewe

Toa wazo lako, wafanyakazi wafenye nini?

Hayo ni maoni yangu ili kuwaunganisha wafanyakazi ili kujadili hili tatizo kwa pamoja na kwa mpigo

Sasa wewe umekosoa tu, hujatoa wazo ili kusaidia wanyonge
 
Duh nimeishiwa pozi maana nilikuwa nasubir june nikaanze fatilia fao langu la nssf yaan kama 2 mil nifanye mtaji...
 
Huu ni unyonyaji uliopitiliza.

Mimi ndio maana nawachukia wale wabunge maana hakuna wanachokifanya bungeni.

Huu ni unyama mkubwa.

Wabunge wa Ndiooo

Ila some times ni huu mhimili mwingine ulijichimbia chini zaidi

Saa ingine wabunge wanatishwa
 
Ila wabunge msiwe kama Nyumbu, mkiungana mnaweza kusema hapana na kuokoa watanzania

Wafanyakazi wamekosa Mtetezi

Yuko wapi Mtetezi wa Wanyongeee

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.....Je kubadilisha FAO la Kujitoa na kuweka fao la afya ndio ukweli Huu?

Kwani hii mifuko haikuwa na Bima ya Afya? Na hiyo miradi ya uwekezaji, faida inaenda wapi?

Serikali inadaiwa Trillions of money...Je serikali inahujumu wafanyakazi?
 
Wacha Mungu aendelee kutuonyesha jinsi maamuzi ya watu yalivyokuwa mabaya 2015.
 
Wabunge wa Ndiooo

Ila some times ni huu mhimili mwingine ulijichimbia chini zaidi

Saa ingine wabunge wanatishwa

Hawa wenzentu maamuzi wanayopitisha kama sio Watanzania wenzetu yaani.

Watu tunanyanyasika ndani ya nchi yetu.
 
Mkuu Mpadmire,
Jaribu kutendea haki umri wako kwa kushirikisha ipasavyo ubongo wako.
Hoja ya whatsapp group ni ya kipuuzi kuliko.
Unaweza vp anziwa hilo group ambalo litabeba wafanyakazi wote ambao ni 5% ya Tz sote na kati ya hao chini ya 1% hawamiliki smart phones.
Nani hasiye jua kuwa suluhisho la kero za wafanyakazi ni wafanyakazi wenyewe kupitia vyama vyao.
Kwanza kupitia meza ya mafidhiano baina ya pande zote, mwajiri/serikali na mwajiriwa.
Pili ni hatua ya mwisho endapo vipengele vya hatua ya kwanza kushindwa fikia mwafaka dhidi ya ajenda husika. Nayo ni Mgomo na maandamano ya wafanyakazi wote (solidarity).
Hatua zote hizo zinakuwa facilitated kupitia maeneo ya wafanyakazi au sema matawi ya vyama kwa mikutano maalum kiamasisha jambo husika.

Wewe unakuja na drama zako za kitamthilia, tukisema unapanic.

Kilaza sio kilazer.
 
Bado hujatoa mchango wa maana wa suluhisho

TUCTA hii ambayo ni mfu, butu ndio chama cha wafanyakazi unaongelea?

Sasa hivi kuna migogoro mingi sana na vyama vya wafanyakazi hawasikiki, wapi umesikia wakiongea?

Kama wewe sio mfanyakazi kaa mbali na hii hoja, maana unalenga kubomoa na kuwatisha wafanyakazi wasidai haki zao

Wewe- Unaweza vp anziwa hilo group ambalo litabeba wafanyakazi wote ambao ni 5% ya Tz sote na kati ya hao chini ya 1% hawamiliki smart phones.----Bora hata hao 1% wawe kitu kimoja na itakuwa mwanzo...Njia zitatumika nyingi...sio hii moja...Umepuuza mchango wangu lakini wewe mchango wako ni zero
 
Mmeipenda wenyewe.... Kidumu chama cha mapinduzi....soma namba sasa
 
Tusipowareplace hawa watu 2020 mwsho watataka tugawane mishahara nusu kwa nusu..... (nimetukana)
 
Nafurahi Serikali ya SIcem inavyofanya

Wale wanaopongeza na wale wanaopinga...kwa pamoja wanaumia au ndugu zao wanaumia (moja kwa moja au indirect)

Wacha tuendelee hivi hivi

Kuanzia sasa, watanzania vumilieni hali yeyote maana HAKUNA mtetezi wa wanyonge na Hakuna msema kweli

Wanafiki ndio wamejaa
 
Back
Top Bottom