Fao la kujitoa lafutwa rasmi

Fao la kujitoa lafutwa rasmi

Acheni tu yapite mana haya waliyapanga toka mwanzo kwani kura waliziesabu wenyewe hawakutaka shaidi. Na kama kweli hasira inakuja pole pole basi naona ya wa tanzania karibu itafika mahali pake.!wale walikufa kenya hawakupenda ila waliyataka ili adabu iwepo japo hayakuwa maamuzi mazuri. Kikubwa tuombe ulinzi wa mioyo yetu kwa mungu mana hakuna ambalo halina mwisho wapo watakaozaliwa wanaoweza kuongea na matendo na kama sio kizazi hichi cha sasa kipo kinachokuja na sumu kisichoelewa chochote. NAOMBENI MSINIELEWE VIBAYA NI HASIRA TU
 
Kwa hiyo Wabunge na Wizara wameshapitisha hilo?

[HASHTAG]#jenister[/HASHTAG]
 
Mbona sielewi kilichoandikwa hapa...
Wamefuta fao la kujitoa ina maana tunarudi utaratibu wa zamani kuwa ukitaka kujitoa unapewa pesa yako kama kawaida ama ni vipi
Na bima ya afya imeingia vipi hapo na ina mahusiano gani na makato ya social security???!..
 
Cha ajabu wafanyakazi mnakatwa mshahara kwenda tucta sijui cwt na vyama vinginevyo...

havina faida hivyo vyama vyenu aisee

Heri mje tuungane tulime nyanya
 
Tupeni Taarifa

Bunge limepitisha kuondoa FAO La Kujitoa?

Wabunge gani waliopinga?

Zitto, Lissu, Sussan
 
Sasa bima ya afya inahusika vipi kwenye pesa za nssf? jamaa naona akili hawana...
....Amechanganya mada nilichosikia,na hata JPM May mosi alikisema ni kwamba wanafikiria kupeleka muswaada bungeni ili mfanyakazi akipoteza ajira apewe asilimia fulani ya mafao yake aweze kujikimu wakati akirafura ajira tena.
 
Kwa nini Serikali inahangaika na Jasho la watu? Hizo ni pesa za wafanyakazi

Wanahaha kufanya hujuma na kukopa

Lini Watanzania watapata haki zao? Nchi ya Kikoloni hii

Mfanyakazi apewe pesa zake zote...sio kupangiwa

Hao wanaopanga na kuhujumu pesa za wafanyakazi wana mishahara minono, wana nyumba na akiba benki. Wafanyakazi wengi ni masikini na mshahara ni "hand to Mouth"...hakuna akiba inasalia..

Wabunge kila baada ya Miaka 5 wanapewa Bulungutu, zaidi ya Millioni 100
 
....Uko sahihi mkuu, nilikuwa naweka rekodi sawa tuu maana mchanguaji alichanganya mada. Mimi nakubaliana na wewe kabisa kwamba hiyo ni haki ya mfanyakazi na hatakiwi kupangiwa, hasa huko private sectors ambako ajira ni muda mfupi. Kuna hoja kwamba hizi fedha kwenye hii mifuko zimekopwa na serikali hivyo wanajaribu kutafuta namna ya ku contain hii situation.
 
Yaani hili fao la kujitoa nikiona tu au kusikia hata vichwa vya habari kwenye gazeti lazima ninunue maana wengine tuligoma kuajiriwa serikalini kutokona na hapo mwanzo ajira serikalini ilikuwa hakuna hivyo ikapelekea kuzoea maisha ya umachinga huku kwenye sekta binafsi

Naomba niendelee na ajira mpaka huyu kamanda wa Chato aondoke labda wanaweza wakarudisha baadae lakini si kwa utawala huu aisee
 
Hivi hili suala hatma take ni ipi kwa sababu hata Serikali ni kama bado ina kigugumizi kuliweka wazi
 
Habari za asubuhi wapendwa.

Naomba kuuliza mtu akiacha kazi especially huku private sector , je anaruhusiwa kuchukua hela yake maana nimesikia kuwa hawa jamaa NSSF hawatoi hela mpaka ufikishe miaka 60 Na je Ni kweli?

Asante
 
Ukiacha kazi nahisi haupati pesa, Ila kama umeachishwa kazi kutokana na mwajili kuyumba kiuchumi kuna uwezekano ukalipwa
 
Ok ukiachiswa kwa mfano ulikuwa unafanya kazi kwa mkataba ambao Ni renewable lakini sasa mwajiri hana kazi tena.
 
Back
Top Bottom