Fanyeni hivi ili Heche ajiuzulu

Fanyeni hivi ili Heche ajiuzulu

ChoiceVariable.
Lucas Mwashambwa.
Tlaatlaah.
Hii crew inajua na ina details zote, wamezifungia pale Lumumba Street, wape ujira wao wakupe details.
acha upotoshaji useless jukwaani gentleman,

ushahidi kamili usio na shaka wa ufisadi nonsense wa heche, wanao Lema na Sugu.

ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra, kwasababu watauwasilisha kwenye mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15, na hapo ndipo fisadi heche na watermelon JJ myika kwa pamoja wanaweza kupigwa chini 🐒
 
Unajua gentleman,
Mwandiko wako wako huwa unachekesha sana. Naomba unitolee nonsense zako, lete ushahidi
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Watakuletea ushuzi wa bata tu.Hawana ushahidi wala fununu za ushahidi.Wajingawajinga tu.
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
hicho ni kiwango kikubwa cha hekima ambacho sidhani kama wanacho
 
Naunga mkono hoja kwa 100% Allen Kilewella! Huu ni mtego mzuri sana kwa wapiga ramli na wanasiasa wa matukio mtandaoni.
CHADEMA ni taasisi kubwa inayozingatia misingi ya haki, mifumo, na uwajibikaji (Accountability). Siasa za karne ya 21 haziendeshwi kwa hisia, majungu, au uzushi wa kufikirika. Huwezi kuamka asubuhi na kuanza kumchafua kiongozi mwandamizi kama Makamu Mwenyekiti, John Heche, kwa maneno matupu eti "kachukua hela" bila kuweka data mezani.
Maswali yako yako palepale na yanahitaji majibu ya kisayansi: Hizo fedha zilitoka akaunti gani? Benki gani? Siku gani na kwa muamala upi? Utaratibu wa saini (Signatories) wa chama ulikuwaje wakati wa utoaji? Kama kweli watoa tuhuma wana nia njema na chama, kwanini hawajapeleka ushahidi huu wa miamala kwenye vikao rasmi vya kikatiba badala ya kukimbilia mitandaoni?
Upande wa pili wa sarafu unapaswa kuwauliza hawa "wazalendo wa mtandaoni"—nyinyi wenyewe mmekifanyia nini chama au mmechangia kiasi gani cha hali na mali ndani ya miezi 12 iliyopita zaidi ya kuleta migawanyiko? Ni lazima tulinde viongozi wetu dhidi ya mbinu chafu zinazolenga kutuvuruga na kutudhoofisha. Leteni ushahidi na nyaraka za kibenki hapa mezani, la sivyo acheni kelele za kutafuta kiki!
 
Tlaatlaah mwanzoni nilijua ni robot kumbe ni akaunti ya ofisi pale Lumumba.

Wataalamu wametueleza hakuna mtu anayeweza kuwa mtandaoni 24/7. Kwa ivo Tlaatlaah ni timu na siyo mtu.

Huyu Lucas Mwashambwa kwanza aliambiwa na johnthebaptist kuwa hilo jina siyo lake na hakubisha. Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba.
Halafu huyu johnthebaptist siku hizi haonekani kabisa jukwaani..

Kuna mawili;

Aidha uchawa umemlipa na kupata uteuzi wa ukatibu tarafa na kuambulia usafiri wa pikipiki ya SanLG na mshahara wa laki 4 kwa mwezi🤪

Au ndiye moderator wa Moja ya Akaunti hizo za Lumumba.. ikiwemo ya Tlaatlaah
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Ahahaaaaaaa, hawa kenge wamemezeshwa taarifa fake wanazitema kama kasuku, ili mradi tu wao wamekatiwa chao, wako kama wale wakatoliki wa vijola wa kipindi kile, hawana lolote hawaa.

Wasiwasi wangu tu hiyo migao ya pesa wanazopewa, na nyingine kupitia media zote za social na magazeti uchwara hazina negative impact kwenye mzunguko wa pesa ndani ya nchi?
 
Utaratibu wa heche unajulikana wazi kabisa gentleman. Lema na Sugu wanajua mwanzo wa ufisadi wa heche hadi mwisho.

Kwenye mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15 mbivu na mbichi zitabainishwa humo, hakuna haja ya kuweweseke wala mchecheto wa mapema.🐒

R.I.P Suez Daniel Maradufu
Yoh yoh yooooooohhhh kwako mkata vinembe mkuu!
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Kwa maoni yako mimi nashauri;
"Kwakuwa enzi za Mwenyekiti Mbowe alifikia hatua ya kuitwa Ayatollah Mbowe kwasayya king'ang'ania Uwenyekiti wa Chadema kwa muda mrefu na ninyi nyumbu wa Chadema mkiunga mkono!
Basi
Na Heche aitwe Mtakatifu Heche kwasababu ninyi nyumbu hamuamini kuwa Heche anaweza kukosea!"
Nawasilisha!
 
Haya maswali hayakuhusu wewe ila yanawahusu wale mnaowatuma kubwabwaja hovyo.
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Tuhuma sio kuwa Heche amechota pesa kwenye akaunti ya Chadema.

Tuhuma ya kwanza ni kuwa amekuwa akipewa pesa za mchango hazifikishi Chadema. Sasa mambo ya akaunti na signatories yanaingiaje.

Tuhuma ya pili ni kuwa tuhuma ya kwanza iliibuliwa kwenye kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kilichofanyika Kigoma.

Tuhuma ya kwanza ingejibiwa kirahisi kwa Heche kusema kuwa pesa zote anazopewa huwa anaziingiza kwenye akaunti ya Chadema.

Tuhuma ya pili nayo ni rahisi kuijibu. Watokeze wajumbe wa Kamati Kuu waseme kuwa tuhuma hizo hazikufikishwa kwenye kikao kinachotajwa. Badala yake yanatolewa kwa tuhuma ambazo hazijaletwa.

Wengine tunakumbuka majibu ya Makamu Mwenyekiti kuhusu madai ya ubadhirifu aliyotoa Msigwa dhidi ya Chadema. Alichosema ni " tuhuma hizo zijibiwe na Chadema". Inakuwaje kwenye hili mnapata kigugumizi?

Amandla...
 
Hakuna anayetumwa. Kama wewe unatumwa kuja humu JF kusema mabaya kuhusu CCM na Serikali yake ni wewe! Wengine tunaandika with open mind!
Wewe ndiyo una open mind? Mnatumwa Kwa kuwa Kwa akili ya kawaida mtu mwenye utimamu hawezi kuandika mambo asiyoweza kuyatetea kama hajatumwa.

Mtu anayetumwa ni kama robot. Robot linafanya mambo mengi lakini ni Kwa vile tu lilivyokuwa limeprogramiwa.

Wewe Tlaatlaah na wengine wa aina yenu hamfanyi mambo kwa utashi wenu wenyewe,bali mnatumwa!
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Hahaha
 
hii ni kashfa ya mchongo kutoka lumumba kumchafua heche, sidhani kama wanauwezo wa kuthibitisha huu uongo wanaouimba kila siku, mwisho wa siku wataingia mitini tu
 
Hawa watu wanatumia matako kufikiri.
Mkuu, wangekuwa wanatumia makalio wangekuwa na mikakati yenye maana zaidi. Mimi naona kuna ukweli kwamba hii ni project ya Abdul ambaye wanasema ni teja. Wajanja wanajipigia fedha za bure bila kujali kama kuna mafanikio. Si mnakumbaka ile project ya ''wakatoliki'' waliookuwa wanampinga padri Kitima?
 
Utaratibu wa heche unajulikana wazi kabisa gentleman. Lema na Sugu wanajua mwanzo wa ufisadi wa heche hadi mwisho.

Kwenye mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15 mbivu na mbichi zitabainishwa humo, hakuna haja ya kuweweseke wala mchecheto wa mapema.🐒

R.I.P Suez Daniel Maradufu
Kwenye baraza juu tusha pitisha pesa zote apewe Heche
 
Back
Top Bottom