Fanyeni hivi ili Heche ajiuzulu

Fanyeni hivi ili Heche ajiuzulu

Whatever you say, nobody in Chadema can match the legacy of Ayatollah Mbowe.
Mbowe is history, the past and don't forget that by betraying the struggles he degraded himself and lost moral standard hence nobody cares about him anymore.
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Hayo maswali hawana jibu hata moja. Ngoja zianze kufunguliwa kesi kama utawaona
 
Erasing history is erasing survival!
Nobody is erasing anything, he'll be remembered as fighter who was compromised and betrayed the struggles.
Simply I just said nobody cares about him anymore, nothing more nothing less.
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Kunapotokea tuhuma,mtuhumiwa ni busara achutame,tuhuma si uhusika, UCHUNGUZI utakapokamilika,ndipo utaiweka HURU JAMII YOTE YA WAPENZI WA CDM.CDM NI CHAMA SAFI NDICHO TUNACHOKIAMINI,HATUWEZI KUZIDIWA USMART NA CHAMA KAMA CHAUMMA,WALIPOONA DOSARI,MWALIMU ALIWEKWA NJE,NDICHO TUNACHOTAKA CDM,UWAZI NA UKWELI.
 
Back
Top Bottom