Fanyeni hivi ili Heche ajiuzulu

Fanyeni hivi ili Heche ajiuzulu

Wewe ndiyo una open mind? Mnatumwa Kwa kuwa Kwa akili ya kawaida mtu mwenye utimamu hawezi kuandika mambo asiyoweza kuyatetea kama hajatumwa.

Mtu anayetumwa ni kama robot. Robot linafanya mambo mengi lakini ni Kwa vile tu lilivyokuwa limeprogramiwa.

Wewe Tlaatlaah na wengine wa aina yenu hamfanyi mambo kwa utashi wenu wenyewe,bali mnatumwa!
Ukiona mtu anazungumzia sana uchawi, LAZIMA atakuwa mchawi. Kama unaamini Kuna watu wanatumwa, basi LAZIMA wewe mmoja wao. Na inawezekana wewe ni mmoja wa waliotumwa kuchoma mali za watu Oktoba, 29. TUTAKUFUATILIA!!!!
 
Nyie mnaotumwa kuupindisha ukweli wala hatuna haja ya kuwafuatilia maana tumeshawadharau.

Hiyo hoja yako kuwa anayemjua mchawi lazima naye pia awe mchawi ni dhana dhaifu sana ya kizamani.

Kwa mtazamo wako huo, kwa ivo wewe huwezi kumjua mlevi mpaka na wewe pia uwe mlevi?

Mnaotumwa tunajua aina yenu ya uandishi inayotoa tafsiri ya jinsi mbongo zenu zinavyofanya kazi.

Mnaandika kama vile maroboti wakati nyie ni binadamu kama sisi. Tatizo ni mnatumwa ni kitu/jambo gani la kuja kuandika mitandaoni.
 
Ahahahahaha! Kumbe hata uliyoandika umeandikiwa? Pole sana!
 
Ona nyumbu hili! Umeandikiwa halafu unaniuliza mimi kwanini umeandikiwa?
Ukaririfu ni dalili ya kutoweza kubuni jambo lako mwenyewe.

Ili nchi hii iendelee inahitaji mambo manne yaliyojengwa juu ya msingi wa CCM kuwa na watu wanaofikiri kwa akili zao wenyewe.
 
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.

Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?

Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.

Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.

Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.

Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.

Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Inaonekana wewe hujui kitu. Ili hizo taarifa unazosema zipatikane lazima Heche akae pembeni kwanza ili ofisi na makablasha yote yachunguzwe. Huwenzi kumchunguza mtu aliyeatamia mafaili ya ofisi.
 
Million 600 mtu ajiuzulu wkt nchi hii kuna majizi yamekula mabillion ya pesa eti watajwa waone aibu
Heche hawezi kuondoka otherwise mmue kama wananchi tumechanga sisi wewe kinakuuma nini?
Ili tujue kala ngapi akae pembeni.
 
Ukaririfu ni dalili ya kutoweza kubuni jambo lako mwenyewe.

Ili nchi hii iendelee inahitaji mambo manne yaliyojengwa juu ya msingi wa CCM kuwa na watu wanaofikiri kwa akili zao wenyewe.
CCM ina hazina kubwa ya watu wenye uwezo Mkubwa wa kufikiri na ndio maana tangu uhuru mpaka leo wanaongoza nchi hii. Na nikuahidi, kama vyama vya upinzani vinaongozwa na watu kama Heche wenye G.P.A ya 2.7 ya ualimu, basi jua kabisa kuwa CCM bado ipo sana madarakani.
 
Na nikuahidi, kama vyama vya upinzani vinaongozwa na watu kama Heche wenye G.P.A ya 2.7 ya ualimu..
Hizi G.P.A kwenye maisha halisi ya kisiasa zinatumikaje?

CCM kuruhusu kuwa na mtu kama Msukuma kwenye nafasi za kiuongozi kwenye CCM na nje ya CCM kilitumia kigezo gani kama tafsiri yako ya ubora wa kisiasa inategemea/tegemea kwenye mambo ya udogo ama ukubwa wa GPA?
 
Kwa maoni yako mimi nashauri;
"Kwakuwa enzi za Mwenyekiti Mbowe alifikia hatua ya kuitwa Ayatollah Mbowe kwasayya king'ang'ania Uwenyekiti wa Chadema kwa muda mrefu na ninyi nyumbu wa Chadema mkiunga mkono!
Basi
Na Heche aitwe Mtakatifu Heche kwasababu ninyi nyumbu hamuamini kuwa Heche anaweza kukosea!"
Nawasilisha!
Mbowe huyuhuyu anayesifiwa na CCM baada ya kuzihasi harakati za kupambania demokrasia? Mwanzoni walimpachika kesi ya ugaidi ila sasa wamekuwa wakimsifia kuwa alikuwa mpinzani safi, are they using their butt-holes to analyze whatever comes in front of them?
 
cc; viongozi wapya wa CCM,walioteuliwa hivi karibuni.
 
Mbowe huyuhuyu anayesifiwa na CCM baada ya kuzihasi harakati za kupambania demokrasia? Mwanzoni walimpachika kesi ya ugaidi ila sasa wamekuwa wakimsifia kuwa alikuwa mpinzani safi, are they using their butt-holes to analyze whatever comes in front of them?
Whatever you say, nobody in Chadema can match the legacy of Ayatollah Mbowe.
 
Hizi G.P.A kwenye maisha halisi ya kisiasa zinatumikaje?

CCM kuruhusu kuwa na mtu kama Msukuma kwenye nafasi za kiuongozi kwenye CCM na nje ya CCM kilitumia kigezo gani kama tafsiri yako ya ubora wa kisiasa inategemea/tegemea kwenye mambo ya udogo ama ukubwa wa GPA?
Ahahahahaha! Kumbe mnapoguswa mnagusika! Ahahahahaha!
 
Back
Top Bottom