Fanya jaribio hili usiku, nakuhakikishia utaona vitu visivyo vya kawaida angani

Yani mbunye iko ndani imejianika nikae nje kutoa macho tu wakati inatakiwa niwe nagegeda kama ni mlinzi sawa
 
Iyo nyumba ilokatika umeme ulijrnga wewe au ulipangisha? Kama ni yako basi na mimi ntajaribu kuangalia angani usiku saa 7 nikishajenga nyumba na AC zake na punde umeme utakapokatika saa 7 usiku, kama ulipangisha basi sitafanya ivyo maana sina uwezo wa kupanga kwny nyymba yenye AC
Alikuwa gesti huyo
 
Mimi ni madadisi sana, hupenda sana kudadisi vitu visivyo vya kawaida.

Katika udadisi wangu situmii mbinu yoyote ya kisayansi bali hupenda kutumia macho, pua, masikio na zaidi hisia.

Kuna siku mida ya saa saba za usiku umeme wa tanesco ulikuwa umekatika, sikuweza kustahimili joto la ndani ya nyumba maana AC/feni bila umeme haiwezi kufanyakazi.

Basi nikaamua nitoke zangu nje ya nyumba kupunga upepo.

Kwa kuwa umeme ulikuwa umekatika, nje ya nyumba kulikuwa kimya sana huku anga likiwa na utulivu usio wa kawaida.

Hali ya kukatika kwa umeme ukafanya eneo lile liwe na kiza sana na kufanya nyota za angani zionekane kwa uzuri bila tashwishi.

Hapohapo likanijia wazo la kutazama angani kwa utulivu ili nishangae nyota.

Basi nikavuta pumzi na hisia ya juu sana nikiwa nimetazama angani nikilitafakari anga, nyota na uwezo usio wa kawaida wa aliyeviumba.

Nililitazama anga kwa takribani kama dakika kumi au kumi na tano bila kutikisika nikiwa katika tafakari au hisia ya juu sana(sijui wenyewe ndio mnaita hisia ya sita).

Basi ghafla nikaanza kuona vitu visivyo vya kawaida vikitembea angani, niliona mamia ya nyota zikisogea kwa kupishana taratibu kutoka point moja kwenda point nyingine.

Vitu vingine nilivyoviona siwezi kuvielezea kwa uzuri, mpaka leo bado navitafakari.

Nakusihi na wewe fanya jaribio hili, unaweza kuona maajabu zaidi ya niliyoyaona mimi.

Kwa hakika anga lina maajabu sana na limetunza siri nyingi.
Unatumia bangi?
 
Hiyo ni fatigue mkuu hakuna la ajabu lolote uliloona.. Mtu unaweza kutengeneza taswira uitakayo.. Na sio lazima uwe unaangalia bali ata hapo sasahivi tumia dk 4 kufumba macho yako uku ukiliangalia utaona vitu unavyoita visivyo vya kawaida.

Just illusion
 
Wizi wana mbinu siku hizi!!

Yaani giza halafu mtu atoke aangalie juu dakika 15
Sasa ili arudi ndani akute umebeba vyote
 
magwiji Rakim, Mshana Jr et al mara nyingi wamekuwa wanajitolea hapa jf kuelimisha kuhusu hisia ya sita.

kwa kupitia topic hii napata hisia kwamba inawezekana wtz wengi hawajui kuitumia hisia hiyo au wengi hawajaliwa kipawa cha kutumia hisia hiyo.yaani wapo wapo tu.
 
Mimi ni madadisi sana, hupenda sana kudadisi vitu visivyo vya kawaida.

Katika udadisi wangu situmii mbinu yoyote ya kisayansi bali hupenda kutumia macho, pua, masikio na zaidi hisia.

Kuna siku mida ya saa saba za usiku umeme wa tanesco ulikuwa umekatika, sikuweza kustahimili joto la ndani ya nyumba maana AC/feni bila umeme haiwezi kufanyakazi.

Basi nikaamua nitoke zangu nje ya nyumba kupunga upepo.

Kwa kuwa umeme ulikuwa umekatika, nje ya nyumba kulikuwa kimya sana huku anga likiwa na utulivu usio wa kawaida.

Hali ya kukatika kwa umeme ukafanya eneo lile liwe na kiza sana na kufanya nyota za angani zionekane kwa uzuri bila tashwishi.

Hapohapo likanijia wazo la kutazama angani kwa utulivu ili nishangae nyota.

Basi nikavuta pumzi na hisia ya juu sana nikiwa nimetazama angani nikilitafakari anga, nyota na uwezo usio wa kawaida wa aliyeviumba.

Nililitazama anga kwa takribani kama dakika kumi au kumi na tano bila kutikisika nikiwa katika tafakari au hisia ya juu sana(sijui wenyewe ndio mnaita hisia ya sita).

Basi ghafla nikaanza kuona vitu visivyo vya kawaida vikitembea angani, niliona mamia ya nyota zikisogea kwa kupishana taratibu kutoka point moja kwenda point nyingine.

Vitu vingine nilivyoviona siwezi kuvielezea kwa uzuri, mpaka leo bado navitafakari.

Nakusihi na wewe fanya jaribio hili, unaweza kuona maajabu zaidi ya niliyoyaona mimi.

Kwa hakika anga lina maajabu sana na limetunza siri nyingi.
kilichokufanya uwe mdadisi ni kwasababu umeme ulikatika tu, ungekuwa mdadisi ungekuwa unaangalia anga kila siku hivyo ungekuwa unadadisi vitu vingi tu......mfano mm najua ni sayari gani zinaonekane kwa ukaribu leo, ISS iko position ipi ya dunia, chombo gani kinategemewa kurushwa angani na makitu mengi tu siyo hayo maruweruwe yako uliyoona......ukitaka kujua ni maruweruwe fumba macho kwa dakika kumi halafu fungua uone.......
 
Kuna siku nilikuwa na hamu ya kulewa halafu nikakosa hela tungi aseee

Nilichofanya nilijaza maji kwenye chupa ya konyagi, nikapiga fundo moja hafu nikazunguka pale pale kama pia zaidi ya mara 20.

Niliopotulia tuu tayari nikawa nimelewa na yale maneno ya kilevi yakaanza

Sasa mimi naye hii huwa naitumia sana kama sina pesa ya kulewea
hahaaaaaa
 
Ni kweli NASA walithibitisha kuwa kuna viumbe angani na hawaruhusiwi kusema hill.
 
Mimi ni madadisi sana, hupenda sana kudadisi vitu visivyo vya kawaida.

Katika udadisi wangu situmii mbinu yoyote ya kisayansi bali hupenda kutumia macho, pua, masikio na zaidi hisia.

Kuna siku mida ya saa saba za usiku umeme wa tanesco ulikuwa umekatika, sikuweza kustahimili joto la ndani ya nyumba maana AC/feni bila umeme haiwezi kufanyakazi.

Basi nikaamua nitoke zangu nje ya nyumba kupunga upepo.

Kwa kuwa umeme ulikuwa umekatika, nje ya nyumba kulikuwa kimya sana huku anga likiwa na utulivu usio wa kawaida.

Hali ya kukatika kwa umeme ukafanya eneo lile liwe na kiza sana na kufanya nyota za angani zionekane kwa uzuri bila tashwishi.

Hapohapo likanijia wazo la kutazama angani kwa utulivu ili nishangae nyota.

Basi nikavuta pumzi na hisia ya juu sana nikiwa nimetazama angani nikilitafakari anga, nyota na uwezo usio wa kawaida wa aliyeviumba.

Nililitazama anga kwa takribani kama dakika kumi au kumi na tano bila kutikisika nikiwa katika tafakari au hisia ya juu sana(sijui wenyewe ndio mnaita hisia ya sita).

Basi ghafla nikaanza kuona vitu visivyo vya kawaida vikitembea angani, niliona mamia ya nyota zikisogea kwa kupishana taratibu kutoka point moja kwenda point nyingine.

Vitu vingine nilivyoviona siwezi kuvielezea kwa uzuri, mpaka leo bado navitafakari.

Nakusihi na wewe fanya jaribio hili, unaweza kuona maajabu zaidi ya niliyoyaona mimi.

Kwa hakika anga lina maajabu sana na limetunza siri nyingi.
IMG_20180809_202932_642.jpg
 
Mkuu uzi wako ungeweza fupisha kwenye sentensi mbili tu
 
Hongera mkuu kumbe unamiliki AC
 
Back
Top Bottom