Fanya jaribio hili usiku, nakuhakikishia utaona vitu visivyo vya kawaida angani

Nahisi ni hallucinations zaidi.

Wazia kuinua kichwa kwa muda mrefu ukiwa umetazama eneo moja pekee.

Nini kitatokea?

Kinachotokea ni kuanza kuona vitu na mara nyingi kwenye engo ya jicho, ukitaka kua attention kuhakikisha ulivyoviona vinapotea (Ghost sightings zipo hivi).

Ndiyo maana hata mleta uzi aliona hivyo vitu vikitoka upande mmoja kwenda mwingine. Yaani kutokea engo hii ya jicho mpaka ile kule.

Nahitaji uthibitisho zaidi.
 
Nahisi ni hallucinations zaidi.

Wazia kuinua kichwa kwa muda mrefu ukiwa umetazama eneo moja pekee.

Nini kitatokea?

Kinachotokea ni kuanza kuona vitu na mara nyingi kwenye engo ya jicho, ukitaka kua attention kuhakikisha vinapotea.

Ndiyo maana hata mleta uzi aliona hivyo vitu vikitoka upande mmoja kwenda mwingine. Yaani kutokea engo hii ya jicho mpaka ile kule.

Nahitaji uthibitisho zaidi.
duh!.
 
Kwakuwa uliconcentrate kuangalia sehemu moja kwa muda mrefu macho yalichoka na kuanza ku tengeneza hicho ulichoona.
 
Hii kitu nishawahi kuifanya, hakika nliona mambo ya kushangaza
angalau wewe kidogo umekuja na mtazamo kama wangu.... wadau wengine wote wanadhani hili jambo ni masihara.

angani kuna mambo makubwa sana ambayo huwezi kuyaona kiurahisi.
 
Kuna siku nilikuwa na hamu ya kulewa halafu nikakosa hela tungi aseee

Nilichofanya nilijaza maji kwenye chupa ya konyagi, nikapiga fundo moja hafu nikazunguka pale pale kama pia zaidi ya mara 20.

Niliopotulia tuu tayari nikawa nimelewa na yale maneno ya kilevi yakaanza

Sasa mimi naye hii huwa naitumia sana kama sina pesa ya kulewea
 
Moderators JamiiForums hii mada haikupaswa iwepo katika hili jukwaa.
Ha ha ha, kweli mukulu
Hayo Yanaitwa 'Mawenge'
 
Back
Top Bottom