Fanya jaribio hili usiku, nakuhakikishia utaona vitu visivyo vya kawaida angani

Mimi ni madadisi sana, hupenda sana kudadisi vitu visivyo vya kawaida.

Katika udadisi wangu situmii mbinu yoyote ya kisayansi bali hupenda kutumia macho, pua, masikio na zaidi hisia.

Kuna siku mida ya saa saba za usiku umeme wa tanesco ulikuwa umekatika, sikuweza kustahimili joto la ndani ya nyumba maana AC/feni bila umeme haiwezi kufanyakazi.

Basi nikaamua nitoke zangu nje ya nyumba kupunga upepo.

Kwa kuwa umeme ulikuwa umekatika, nje ya nyumba kulikuwa kimya sana huku anga likiwa na utulivu usio wa kawaida.

Hali ya kukatika kwa umeme ukafanya eneo lile liwe na kiza sana na kufanya nyota za angani zionekane kwa uzuri bila tashwishi.

Hapohapo likanijia wazo la kutazama angani kwa utulivu ili nishangae nyota.

Basi nikavuta pumzi na hisia ya juu sana nikiwa nimetazama angani nikilitafakari anga, nyota na uwezo usio wa kawaida wa aliyeviumba.

Nililitazama anga kwa takribani kama dakika kumi au kumi na tano bila kutikisika nikiwa katika tafakari au hisia ya juu sana(sijui wenyewe ndio mnaita hisia ya sita).

Basi ghafla nikaanza kuona vitu visivyo vya kawaida vikitembea angani, niliona mamia ya nyota zikisogea kwa kupishana taratibu kutoka point moja kwenda point nyingine.

Vitu vingine nilivyoviona siwezi kuvielezea kwa uzuri, mpaka leo bado navitafakari.

Nakusihi na wewe fanya jaribio hili, unaweza kuona maajabu zaidi ya niliyoyaona mimi.

Kwa hakika anga lina maajabu sana na limetunza siri nyingi.
Long standing ilisababisha upate Hallucination tu hizo mkuu
 
Pombe hizo....
 
Mirembe panakuhusu mkuu
Endelea kutafakari mkuu ukipata majibu njoo tena hapa unipe feedback namm nijaribu nijionee
Kumbe lengo lake wwatu wachangie tu issue kubwa ni kiki
Long standing ilisababisha upate Hallucination tu hizo mkuu
Pombe hizo....
Mkuu ulikua unaona kizunguzungu tu
..
 
kumbe si pekee yangu tu.
Screenshot_2018-12-11-11-21-23-144_com.opera.browser.jpeg
 
Mimi ni madadisi sana, hupenda sana kudadisi vitu visivyo vya kawaida.

Katika udadisi wangu situmii mbinu yoyote ya kisayansi bali hupenda kutumia macho, pua, masikio na zaidi hisia.

Kuna siku mida ya saa saba za usiku umeme wa tanesco ulikuwa umekatika, sikuweza kustahimili joto la ndani ya nyumba maana AC/feni bila umeme haiwezi kufanyakazi.

Basi nikaamua nitoke zangu nje ya nyumba kupunga upepo.

Kwa kuwa umeme ulikuwa umekatika, nje ya nyumba kulikuwa kimya sana huku anga likiwa na utulivu usio wa kawaida.

Hali ya kukatika kwa umeme ukafanya eneo lile liwe na kiza sana na kufanya nyota za angani zionekane kwa uzuri bila tashwishi.

Hapohapo likanijia wazo la kutazama angani kwa utulivu ili nishangae nyota.

Basi nikavuta pumzi na hisia ya juu sana nikiwa nimetazama angani nikilitafakari anga, nyota na uwezo usio wa kawaida wa aliyeviumba.

Nililitazama anga kwa takribani kama dakika kumi au kumi na tano bila kutikisika nikiwa katika tafakari au hisia ya juu sana(sijui wenyewe ndio mnaita hisia ya sita).

Basi ghafla nikaanza kuona vitu visivyo vya kawaida vikitembea angani, niliona mamia ya nyota zikisogea kwa kupishana taratibu kutoka point moja kwenda point nyingine.

Vitu vingine nilivyoviona siwezi kuvielezea kwa uzuri, mpaka leo bado navitafakari.

Nakusihi na wewe fanya jaribio hili, unaweza kuona maajabu zaidi ya niliyoyaona mimi.

Kwa hakika anga lina maajabu sana na limetunza siri nyingi.
Mkuu ulikuwa katika hali ya kawaida au maruwe ruwe/ mawenge aidha ya kuvuta bangi au dawa fulani, maana mimi pia hutazama sana anga la usiku na sioni tofauti yeyote.
 
hahahaha...kiukweli niliingiwa na uoga wa kuendelea na huo udadisi, sikutaka kuendelea.

mpaka hii leo sijajaribu tena kwa hofu ya kuona vitu vingi zaidi ambavyo wanadamu hatupaswi kuviona au kuvijua.

wanadamu tumewekewa ukomo wa kujua baadhi ya siri. wenyewe wanakwambia kuna siri ukishazijua tu hupaswi kuendelea kuishi,lazima ulipie gharama ya kifo.
Unajitisha bure, vitu vingine vya Mungu vimejaa uzuri na si vitisho
 
si bora wewe mimi kuna siku niliona nyota mara sijui ya njano, mara blue mara kijani nk,
ila ukitaka kujua zaidi nenda makete ukaone nyota zinazo tengenezwa tanzania.
 
Hii ulifanya awamu ile ya Richmond bila shaka. Awamu ya hapa kazi kukatika umeme inanza kuwa kama simulizi za hekaya za abunuasi.
Duh unless unaishi mkoa usio katika grid ya Taifa kama Kagera na sumbawanga. Ila sisi hapa tu jijini umeme wakatika tu sema siyo kama kipindi cha richmond
 
Mimi ni madadisi sana, hupenda sana kudadisi vitu visivyo vya kawaida.

Katika udadisi wangu situmii mbinu yoyote ya kisayansi bali hupenda kutumia macho, pua, masikio na zaidi hisia.

Kuna siku mida ya saa saba za usiku umeme wa tanesco ulikuwa umekatika, sikuweza kustahimili joto la ndani ya nyumba maana AC/feni bila umeme haiwezi kufanyakazi.

Basi nikaamua nitoke zangu nje ya nyumba kupunga upepo.

Kwa kuwa umeme ulikuwa umekatika, nje ya nyumba kulikuwa kimya sana huku anga likiwa na utulivu usio wa kawaida.

Hali ya kukatika kwa umeme ukafanya eneo lile liwe na kiza sana na kufanya nyota za angani zionekane kwa uzuri bila tashwishi.

Hapohapo likanijia wazo la kutazama angani kwa utulivu ili nishangae nyota.

Basi nikavuta pumzi na hisia ya juu sana nikiwa nimetazama angani nikilitafakari anga, nyota na uwezo usio wa kawaida wa aliyeviumba.

Nililitazama anga kwa takribani kama dakika kumi au kumi na tano bila kutikisika nikiwa katika tafakari au hisia ya juu sana(sijui wenyewe ndio mnaita hisia ya sita).

Basi ghafla nikaanza kuona vitu visivyo vya kawaida vikitembea angani, niliona mamia ya nyota zikisogea kwa kupishana taratibu kutoka point moja kwenda point nyingine.

Vitu vingine nilivyoviona siwezi kuvielezea kwa uzuri, mpaka leo bado navitafakari.

Nakusihi na wewe fanya jaribio hili, unaweza kuona maajabu zaidi ya niliyoyaona mimi.

Kwa hakika anga lina maajabu sana na limetunza siri nyingi.
Ulisinzia bwegee wewe hiyo ndoto
 
Back
Top Bottom