Fanya hivi usiku wa manane

Fanya hivi usiku wa manane

Duuuh Hili jina mbona lina hatari YAVUZ YAKUZ PETRA SATREA
1744189388744.jpeg

Jamaa Wa Kulia Cover Ya Juu Ndio Yavuz
 
Kitakacho fanyika hapo ni kuwa ubongo utapata hyperactivity hadi kushindwa kutofautisha reality and imaginations.

Matokeo yake kila kitacho fikiriwa na ubongo kitatafsiriwa kama reality while it'sn't.
 
Hi ni mara ya pili natoa elimu ya Angel number lakini mod wamekua wakifuta kila siku its oky..

Leo natoa somo moja ambalo kama una roho nyepese usije jaribu hata kidogo.

Ikifika sa nane usiku jifungue chumbani kwako kama upo na mwenzako mwambie akupishe maana hilo jambo ni pasua kuchwa kidogo.

Baada ya hapo hakikisha ujavaa nguo zenye kukubana sana yaani uwe freely.

Katika hiko chumba hakikisha hakuna maji, chumvi wala kitana au chanuo.

Chukua simu yako kisha weka hii nyimbo kwa sauti kubwa sana kama una earphones vaa (Hoist the colour)
View attachment 3297278
Nyimbo hii inapoanza kuimba weww kuwa unasema haya maneno mara kwa mara

(YAKUZ, YAVUZ )
View attachment 3297527

Mda huo unakua umekaa chini ujaegemea popote pale. Baada ya nyimbo kuisha kwa kuwa uliweka repeated one mara ya pili acha kusema haya maneno ila sasa hvi sema chochote unachotaka kukiona mda huo unakua umefumba macho.

Nb unapoonza hakikisha unamaliza
Mashangazi yanaanza kukutesa mkuu.

Ingia Kwa Hawa kausha damu uchangamke kama Mimi kaka nilivyochangamshwa
 
Hi ni mara ya pili natoa elimu ya Angel number lakini mod wamekua wakifuta kila siku its oky..

Leo natoa somo moja ambalo kama una roho nyepese usije jaribu hata kidogo.

Ikifika sa nane usiku jifungue chumbani kwako kama upo na mwenzako mwambie akupishe maana hilo jambo ni pasua kuchwa kidogo.

Baada ya hapo hakikisha ujavaa nguo zenye kukubana sana yaani uwe freely.

Katika hiko chumba hakikisha hakuna maji, chumvi wala kitana au chanuo.

Chukua simu yako kisha weka hii nyimbo kwa sauti kubwa sana kama una earphones vaa (Hoist the colour)
View attachment 3297278
Nyimbo hii inapoanza kuimba weww kuwa unasema haya maneno mara kwa mara

(YAKUZ, YAVUZ )
View attachment 3297527

Mda huo unakua umekaa chini ujaegemea popote pale. Baada ya nyimbo kuisha kwa kuwa uliweka repeated one mara ya pili acha kusema haya maneno ila sasa hvi sema chochote unachotaka kukiona mda huo unakua umefumba macho.

Nb unapoonza hakikisha unamaliza
Unajifanya unagawa utajiri Ili Hali unataka tukutajirishe
 
Kitakacho fanyika hapo ni kuwa ubongo utapata hyperactivity hadi kushindwa kutofautisha reality and imaginations.

Matokeo yake kila kitacho fikiriwa na ubongo kitatafsiriwa kama reality while it'sn't.
Screenshot 2025-04-09 1129.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom