Fanya hivi usiku wa manane

Fanya hivi usiku wa manane

hapo mkuu unaita mapepo na majini! Sio Malaika wa Nuru

Malaika wa Nuru wana principle zao! Hizo unazoita ni roho za giza
Screenshot 2025-04-09 112926.jpg

Sina maneno mengi nyie wenyyewe mnaona
 
samahani mkuu mimi sio mfatil;iaji wa muvi ila unaweza nipa hinti kidogo mkuu maana YAKUZ NA YAVUZ Imeleta maajabu mjini leo
Ni Series Ya Kituruki Ya Kivita Sasa Kuna Kikosi Cha Makomandoo Kadhaa Wao Ni Mission Kwa Ajili Ya Kupambana Na Magaidi Imevuma Sana Vibanda Umiza Kwa Wale Vijana Mtaani Kwako Waliojiajiri Na Studios Za Kurusharusha Movies Wanayo Sana
 
Duuuh Mkuu ngoja niicheek hapa tuone ila inaelekea ili neno YAKUZ NA YAVUZ ni mafanikio kwa wengi
Screenshot 2025-04-09 112926.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom