secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,527
- 29,119
Ngoja niyatamke hayo maneno kabla ya mechi ya simba ilikusudi tushinde.Shukur kwa kuamka mapema YAKUZ
Ngoja niyatamke hayo maneno kabla ya mechi ya simba ilikusudi tushinde.Shukur kwa kuamka mapema YAKUZ
Ngoja niyatamke hayo maneno kabla ya mechi ya simba ilikusudi tushinde.
Hii ni maajabu.
Mkuu hi hatar sana mpaka sasa DM yangu imekua changamoto leo mod wanahangaika ku deal na hawa watuHii ni maajabu.
Yakuz yavuz.Mkuu hi hatar sana mpaka sasa DM yangu imekua changamoto leo mod wanahangaika ku deal na hawa watu
Mkuu umesema unataka nani ashinde..?Yakuz yavuz.
Simba mkuu.Mkuu umesema unataka nani ashinde..?
Sasa fanya hivi YAVUZ SIMBA YAVUZ SIMBA YAVUZ SIMBA YAKUZI.Simba mkuu.
Hilo limeisha mkuu, nitafanya hivyo na naamini nitafanikiwa.Sasa fanya hivi YAVUZ SIMBA YAVUZ SIMBA YAVUZ SIMBA YAKUZI.
bada ya hapo ukifika kuangalia mpira au mechi ikianza sema hvi SATRA METRA VUZ.STARA PETRA KUZ
Vijana wa sasa waoga sana lakini ukiwa chemba unawasikia wakisimulia uwanajeshi waoHapa ishu ni YAKUZI, YAVUZI
AHAHHAHA WE JAMAAA JAU SANA UJUEVijana wa sasa waoga sana lakini ukiwa chemba unawasikia wakisimulia uwanajeshi wao
YAKUZ ni umasikini au unataka kusemajeHuu ni mojawapo ya umaskini ulioletwa na CCM.
Duuh hili sw3ali gumu kujibuWe imani yako ni ipi?
Kibumbu kitachemmka!Hey hii sasa ni komoa an YAKUZ NA YAVUZ Ishakua habari nyingine
secretarybird View attachment 3297790
Tayariii huko kakaKibumbu kitachemmka!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂YAKUZ YAVUZ IMEKUSAIDIA KAKA