kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
Kupigwa nini? Na nani๐๐Wewe Binti Sayuni03 unaenda kupigwa sio mda ๐๐๐๐๐๐
Kupigwa nini? Na nani๐๐Wewe Binti Sayuni03 unaenda kupigwa sio mda ๐๐๐๐๐๐
Mkuu karibu sana...Hizi elimu zao jau sana mkuu๐๐
Bora uende kwa Nabii wa ajabu mwenge anaeyegawa pesa, aliyetoa laki6 kaa yule mamaNikishafanya hayo mazingaumbwee pesaa zinakujaaa au nn kinatokeaa bwana mgangaa!?
Kupigwa ngumi...Kupigwa nini? Na nani๐๐
Hii siamini kabisa, kwahiyo na umewakusanya kwenye group unawapa elimu ya Yavuz, Yakuz๐๐Mkuu karibu sana...
Japo kwa sasa group limejaa ila naweza kukwambia ufanye kitu mda huu uone maajabu
Mimi natoa channel ya pesaBora uende kwa Nabii wa ajabu mwenge anaeyegawa pesa, aliyetoa laki6 kaa yule mama
Ntacheka sana hadi mbavu ziume kama madini yenyewe ndiyo haya ya Yavuz, Yakuz๐๐Kupigwa ngumi...
Na mimi maana naona unaachiwa vicheko kwenye nyuzi zangu za madini ๐๐๐๐
Kwahiyo hii inaleta pesa?Mimi natoa channel ya pesa
Wewe yaseme kwa masikhara haya maneono ila mpaka sasa yamefanya watu wafikie malengo....Ntacheka sana hadi mbavu ziume kama madini yenyewe ndiyo haya ya Yavuz, Yakuz๐๐
Ndio mkuu mi kila siku nina 5k haijalishi nimefanya kazi au sijafanya ila hii ni kwa ajili ya haya maneno..Kwahiyo hii inaleta pesa?
Usidharau mkuu ooohA post by Poor Brain
Mh! Hiyo pesa inakuja kimaajabu au?Ndio mkuu mi kila siku nina 5k haijalishi nimefanya kazi au sijafanya ila hii ni kwa ajili ya haya maneno..
Alafu nimekukumbuka..A post by Poor Brain
Maana yake ni nini hayo maneno?Wewe yaseme kwa masikhara haya maneono ila mpaka sasa yamefanya watu wafikie malengo....
Wee hapo ulipo andika neno yavuz kwa herufi kubwa alafu mtumie mtu yoyote hapo mda huu
Pesa inakuja...nikuoneshe kituMh! Hiyo pesa inakuja kimaajabu au?
Siri kubwa mkuuMaana yake ni nini hayo maneno?
Kitu gani? OnyeshaPesa inakuja...nikuoneshe kitu
Kama hayana maana basi hakuna ukweliSiri kubwa mkuu
Oky ngoja napiga picha hapaKitu gani? Onyesha