Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,786
- 58,397
- Thread starter
- #241
Upo tayari...Kama hayana maana basi hakuna ukweli
Una moyo wewe
Upo tayari...Kama hayana maana basi hakuna ukweli
Itanisaidia kwenye warembo hiyo YAKUZ YAVUZ?Alafu nimekukumbuka..
Weww ndo kule jukwaa la warembo duniani yaani ndo kamanda wao sio kwa mapicha yale
Sawa nasubiriOky ngoja napiga picha hapa
Siwezi kufanya kitu kisicho na maanaUpo tayari...
Una moyo wewe
Kitu gani? Onyesha
Ukishaona nambie nifute maaana hairuhusiwiSiwezi kufanya kitu kisicho na maana
Kwenye warembo ndo inaongoza nifatilie mkuuItanisaidia kwenye warembo hiyo YAKUZ YAVUZ?
Wameleta wengi sana mkuu soma coment za page ya piliAliyejaribu alete mrejesho
Sioni hicho kituUkishaona nambie nifute maaana hairuhusiwi
Mbona ni wimbo wa kawaida tu Haina implication yoyote kiroho(kichawi au kishetani)?Wameleta wengi sana mkuu soma coment za page ya pili
WastedUnalombwa mkuu