Fanya hivi usiku wa manane

Fanya hivi usiku wa manane

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 3298051
Ungewahi toka jana ungepata kitu mkuu
 
Mkuu usilete joke kwa mambo ya imani unajua hata maana ya angelology wewe mpaka ukasema vile...

Sasa sikia mda huu tafuta majani ya chai chemsha na mwalivela alafu kunywa huku ukinuia kwa kusema haya maneno YAKUZ YAVUZ MARA MIA TATU
sasa mara mia 3 si kutafuta uchizi tu mjombaa
 
Hi ni mara ya pili natoa elimu ya Angel number lakini mod wamekua wakifuta kila siku its oky..

Leo natoa somo moja ambalo kama una roho nyepese usije jaribu hata kidogo.

Ikifika sa nane usiku jifungue chumbani kwako kama upo na mwenzako mwambie akupishe maana hilo jambo ni pasua kuchwa kidogo.

Baada ya hapo hakikisha ujavaa nguo zenye kukubana sana yaani uwe freely.

Katika hiko chumba hakikisha hakuna maji, chumvi wala kitana au chanuo.

Chukua simu yako kisha weka hii nyimbo kwa sauti kubwa sana kama una earphones vaa (Hoist the colour)
View attachment 3297278
Nyimbo hii inapoanza kuimba weww kuwa unasema haya maneno mara kwa mara

(YAKUZ, YAVUZ )
View attachment 3297527

Mda huo unakua umekaa chini ujaegemea popote pale. Baada ya nyimbo kuisha kwa kuwa uliweka repeated one mara ya pili acha kusema haya maneno ila sasa hvi sema chochote unachotaka kukiona mda huo unakua umefumba macho.

Nb unapoonza hakikisha unamaliza
Imebidi nifukue uzi huu
 
Hizi elimu zao jau sana mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom