West gate hapo mkuu
hapo.kwa ndani palikuwepo watetea dini ya alah wakiua watu kwa kwenda mbele
FaizaFoxy
West gate hapo mkuu
hapo.kwa ndani palikuwepo watetea dini ya alah wakiua watu kwa kwenda mbele
FaizaFoxy

Huyu alikuwa Mkristo:
[h=1]The real Shujaa Abdul Haji[/h]Source: The real Shujaa Abdul Haji | Youth Edition
The hero of west gate:



Ikiwa tungeshika Elimu ya utambuzi na maarifa tungekuwa mbali sana kimaisha na dunia ingekuwa mahala bora pa kuishi nadhani kuliko pepo tunazohubiriwa of which hakuna aliyewahi kwenda akarudi!
Elimu ya utambuzi ipo sana lakini wengi wetu hatutaki kuvishughulisha vichwa vyetu na kuamua kwa hekima na busara, tunachoweza kwa umahiri sana ni kusherehesha na kushabikia propaganda zenye sumu kali kwa jamii na vizazi vyetu
Mimi Sikh zote msimamo wangu ni huuView attachment 204727
Horseshoe Arch hakuna kitu kibaya na sumu mbaya kama kuwa 'brainwashed' angalia kilichotokea Rwanda, na sasa middle east, Rwanda ilikuwa ni ukabila middle east ni udini, imagine hata watu wa imani moja wanachinjana, wangepata nafasi kidogo tu ya kutafakari kwa kina wangegeuka kuwa kitu kimoja na kumjua adui yao ni nani hasaNdugu Mshana, ikiwa tutaamua kujiaminisha kwamba wewe ni mpare kwa kuwa Kina known Mshana wametoka Upareni basi tutaenda mbali zaidi kwa kuwaza kwamba kabla ya colonial era babu zenu walikuwa na namna yao ya kumwabudu Mungu na namna hiyo ilikuwa formal wakati huo...but look what theve done! Kututawala bila kutuvuruga uelewano wetu haikuwa rahisi ndo maana Mwarabu alikuja na yake na Mzungu kaja na yake na eventually yametuingia sana ndo maana waasisi walioleta hii kitu Dini ya Kistaarabu wanaitwa dunia ya kwanza wakati tulioshupalia tulicholetwa tukiwa nje ya dunia! Mimi nasema hivi...ni mtu aliyezaliwa nje ya historia pekee atakayemvimbishia mwenzie mashavu kwa sababu ya tofauti ya Imari... Shikamooo Mungu!
inabidi viongozi wadini wakae watengeneze hizi stika watu wabandike kwenye magari
Horseshoe Arch hakuna kitu kibaya na sumu mbaya kama kuwa 'brainwashed' angalia kilichotokea Rwanda, na sasa middle east, Rwanda ilikuwa ni ukabila middle east ni udini, imagine hata watu wa imani moja wanachinjana, wangepata nafasi kidogo tu ya kutafakari kwa kina wangegeuka kuwa kitu kimoja na kumjua adui yao ni nani hasa
Mwaka juzi na jana mmarekani akamuuzia msaudi silaha za mabilioni ya dola, unafikiri zile silaha zilienda wapi? Leo wanamalizana huku mmarekani akizidi kukoleza moto kwa kujifanya anasaidia upande huu au ule, lakini lengo lake ni moja silaha zile zitumike ziishe ili mwakani viwanda vyake vipate tena tenda ya silaha ni mbinu za mbali na zilizofichama mno
Huku kwetu kuna watu wanashabikia udini utadhani yeye ndio yeye...! Yuko tayari kwa lolote hajui athari zake ni ufinyu wa akili na kukosa maarifa