Kwa jinsi walivyo wengi plural haitoshi inabidi iwe trulal
Umenikumbusha kitu na maziwa mgando na asali
hahaha...mkuu naona watunanga sio!!!
Kama ni pikipiki hiyo haitaweza kuondoka hapo, labda iwe imebadilishwa injin
watu8, inabidi tu ubadirishe, iwe watuwengi, maana 8 washazidi mda sana
Hahahaha hivi kumbe ufundi ndio unasababisha kutungwa kwa mimba eeee!!!!
Daddy... Pole jamani, yaan watu wanakuonea wivu hata kwenye uzazi lolest!!!
umemsahau anayemkimbiza
nawashangaa sijui hawajui ni baraka hizo...fahari ya mzazi watoto atiii!!!
Mmh kwani wewe mdogo?
umesahau kule MMu kulikuwa jisiredi la namna ya kuzaa watoto mapacha, wa kike n.k
basi hata mimi natumia ufundi ka ule kufyatua dabo dabo, huwezijua wengine wakawa wagombea urais atiii...