Familia ya Edward Lowassa imewastukia CHADEMA!

Mkuu;
Wewe ulianza lini kumshabikia Lowassa?

Wewe ulikuwa mmoja wa hawa vijana waliopiga deki barabara ili Lowassa apite!

2.jpg
Kila nikikumbuka upuuzi huu huwa nasema ni bora viroba vimepigwa marufuku.
 
huyu MsemajiUkweli ni masikini wa akili anayetumika mithili ya mashine ya kubangua korosho , Lowassa alishaondoka ccm akawashinda kwenye urais kwa tofauti ya zaidi kura mil 6 , wakampora lakini bado wanajipendekeza .
Malizia mkuu, tena zile korosho zilizotumika kwenye PhD feki ya Jiwe
 
Kuna methali inayosema, Mja hakosei mara moja, kurudia ndio kosa.

Hii ina maana kuwa mtu anaweza akafanya kosa mara ya kwanza. Hiyo si hoja. Lakini akirudia kosa lile lile, basi hapo amekusudia na anafaa kuadhibiwa au kulaumiwa.

Familia ya Edward Lowassa amekataa kurudia kosa mara ya pili baada ya kukataa kuwa chanzo cha mapato kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA mkoani Arusha.

Kabla hata ya kuongea na kukubaliana na familia ya Lowassa, baadhi ya viongozi wa CHADEMA katika Mkoa wa Arusha wakiongozwa na Diwani wa CHADEMA katika Kata ya Sombetini, Ally Bananga na Godbless Lema waliamua kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Monduli na kuzipeleka nyumbani kwa Fred Lowassa wakishinikiza azijaze na watazirudisha.

Baada ya kutumia muda mwingi wakimshawishi akubali maombi yao, Fred aliwaambia wamuache kwanza atafakari kwa kina kabla ya kutoa uamuzi wa mwisho.

Majibu ya Fred yaliwapa moyo kiasi kwamba wakaanza kutangaza kwenye mitandao mbalimbali kuwa wanapeleka mgombea katika Jimbo la Monduli ambaye ni ‘’machine’’ na kwa sababu hiyo, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo aanze kutafuta kazi nyingine.

Habari za Fred kupelekewa fomu zilipomfikia Mama yake, Regina Lowassa aliagiza na kusema hizo fomu zilirudishwe mara moja kwa wahusika kwa sababu familia haina tena pesa za kuchezea hovyo hovyo. ‘’Tumetumia pesa nyingi wakati wa Uchaguzi Mkuu bila mafanikio, hatuwezi kuendelea kuwa shamba la kutajirisha viongozi wa CHADEMA’’ Mama Lowassa alisikika akisema.

Habari hizi ziliwafikia viongozi wa CHADEMA ambao waliamua kwenda kuonana na Edward Lowassa ili amshawishi mwanaye. Lowassa aliwaambia Fred ni mtu mzima na hawezi kumpangia nini akifanye au kuamua hatma ya maisha yake kwa sasa.

Majibu ya Lowassa yaliwafanya viongozi wa CHADEMA kuanza kusaka mgombea mwingine.

Habari zinaeleza kuwa kwa sasa familia ya Lowassa ameanza kujiweka mbali na harakati za CHADEMA ndio maana kwa sasa huwezi kumuona Mke wa Lowassa katika shughuri za Balaza la wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) kama ilivyokuwa hapo zamani.

Kuna msuguano mkali kati ya familia ya Lowassa na wapambe wa Lowassa kama Khamis Mgeja na Sheikh Rajab Katimba ambapo familia yake inamtaka aachane na siasa huku wapambe wakimshawishi kuwa ana nafasi tena ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2020 ili waendelee kunufaika kifedha na uwepo wake katika siasa.
umelewa matango pori[emoji90] [emoji90] [emoji83] wewe
 
Unakodoa macho, kusoma na kujibu andiko la mtu unayefahamu ni masikini wa akili! Basi wewe utakuwa ni zaidi ya masikini wa akili.
we dadapoa wa lumumba kwani bado huja saini bk7 yako tu?
 
Historia ya Tanzania inabaisha tulikuwa na NCCR-Mageuzi, tukapata CUF na sasa tuna CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani.

Historia hiyo hiyo itaihukumu CHADEMA kama ilivyoihukumu NCCR-Mageuzi na CUF.

Usiwe na wasi wasi kwa sababu wenye CHADEMA wanatuambia walianza na mungu na watamaliza na mungu!
kwa cdm mmekwama ndo mana mnatumia visu mapanga risasi lkn hamtaweza.
 
Kuna methali inayosema, Mja hakosei mara moja, kurudia ndio kosa.

Hii ina maana kuwa mtu anaweza akafanya kosa mara ya kwanza. Hiyo si hoja. Lakini akirudia kosa lile lile, basi hapo amekusudia na anafaa kuadhibiwa au kulaumiwa.

Familia ya Edward Lowassa amekataa kurudia kosa mara ya pili baada ya kukataa kuwa chanzo cha mapato kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA mkoani Arusha.

Kabla hata ya kuongea na kukubaliana na familia ya Lowassa, baadhi ya viongozi wa CHADEMA katika Mkoa wa Arusha wakiongozwa na Diwani wa CHADEMA katika Kata ya Sombetini, Ally Bananga na Godbless Lema waliamua kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Monduli na kuzipeleka nyumbani kwa Fred Lowassa wakishinikiza azijaze na watazirudisha.

Baada ya kutumia muda mwingi wakimshawishi akubali maombi yao, Fred aliwaambia wamuache kwanza atafakari kwa kina kabla ya kutoa uamuzi wa mwisho.

Majibu ya Fred yaliwapa moyo kiasi kwamba wakaanza kutangaza kwenye mitandao mbalimbali kuwa wanapeleka mgombea katika Jimbo la Monduli ambaye ni ‘’machine’’ na kwa sababu hiyo, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo aanze kutafuta kazi nyingine.

Habari za Fred kupelekewa fomu zilipomfikia Mama yake, Regina Lowassa aliagiza na kusema hizo fomu zilirudishwe mara moja kwa wahusika kwa sababu familia haina tena pesa za kuchezea hovyo hovyo. ‘’Tumetumia pesa nyingi wakati wa Uchaguzi Mkuu bila mafanikio, hatuwezi kuendelea kuwa shamba la kutajirisha viongozi wa CHADEMA’’ Mama Lowassa alisikika akisema.

Habari hizi ziliwafikia viongozi wa CHADEMA ambao waliamua kwenda kuonana na Edward Lowassa ili amshawishi mwanaye. Lowassa aliwaambia Fred ni mtu mzima na hawezi kumpangia nini akifanye au kuamua hatma ya maisha yake kwa sasa.

Majibu ya Lowassa yaliwafanya viongozi wa CHADEMA kuanza kusaka mgombea mwingine.

Habari zinaeleza kuwa kwa sasa familia ya Lowassa ameanza kujiweka mbali na harakati za CHADEMA ndio maana kwa sasa huwezi kumuona Mke wa Lowassa katika shughuri za Balaza la wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) kama ilivyokuwa hapo zamani.

Kuna msuguano mkali kati ya familia ya Lowassa na wapambe wa Lowassa kama Khamis Mgeja na Sheikh Rajab Katimba ambapo familia yake inamtaka aachane na siasa huku wapambe wakimshawishi kuwa ana nafasi tena ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2020 ili waendelee kunufaika kifedha na uwepo wake katika siasa.
Shameless,ideally backed man from Chattle unatia aibu!!!!Mkuu wa wako wa propaganda anaona unatoa ushuzi wa kondoo.
 
Mkuu;
Mbowe hawezi kuweka pesa yake sehemu ambayo anafahamu atapoteza.

Mbowe ni mfanyabiashara mzuri!
Anachofanya anatengeneza bajeti kubwa,anaomba kamati kuu akikopeshe chama milioni 500,za uchaguzi buyungu
kwa kua yeye ni mkuu wa kambi ya upinzani,anapewa tiketi ya ndege na mlinzi wake kutoka ofisi ya bunge bure, anaruka hadi kigoma,anawajaza wafuasi gesi kesho anarudi Dar,hapo hajatoa hata senti tano,gharama za kampeni atajijua mgombea na wabunge wanachanga
Ruzuku ikiingia tu anapiga panga milioni 500 yake!
 
Ujio wa Lowassa na kumfurusha Mzee Slaa lilikuwa tukio lililothibitisha kuwa Chadema si Chama cha siasa tena ni Saccos ya mtu.

Siku uleile kuhama kukaanza mpaka leo makamanda wengine wanahama kutokana na hasira zile.
 
huyu MsemajiUkweli ni masikini wa akili anayetumika mithili ya mashine ya kubangua korosho , Lowassa alishaondoka ccm akawashinda kwenye urais kwa tofauti ya zaidi kura mil 6 , wakampora lakini bado wanajipendekeza .
Pumba
 
Back
Top Bottom