Familia ya Chit-chat, naombeni muni-adopt..

Familia ya Chit-chat, naombeni muni-adopt..

Haaaa amu kuna mtoto wa kibondei kanifanya kidumu. Nasugua bench huwa ananiingizaga uwanjani kwanzia dakika ya 80, najitahidi labda kuna siku ntacheza dakk zote tisini.

pole ongeza juhudi kijana oooo at least uwe supersub
 
Last edited by a moderator:
Acha kumung'unya karanga!
Mnyooshee mgeni maneno!
Ndondo umelianzisha mwenyewe , dogo anashusha chururu! Ya mistari husomeki !
Unaanzisha lele! Unashushiwa goma!
Wewe nadhani unachotafuta mgonjwa asinyanyuke haraka au?

Judgement hahaha unajua kupanga sana maneno..
 
Last edited by a moderator:
karibu ukaribie,upewe kiti ukalie na kitako utulie.
Nalog off
 
Back
Top Bottom