Familia ya Alphonce Mawazo yaishi mafichoni

Familia ya Alphonce Mawazo yaishi mafichoni

Toka uchaguzi umalizike chadema wamebakia na swaga moja tu kifo cha mawazo
 
Wanataka milioni 700 alizogawana mkiti na katibuwa mkoa ;

maandalizi ya kampeni ya edo . Katibu alikimbia wakati edo anakuja mpaka leo ajulikani , na mil 200.

Ndo maana edo alisusa lupiga kampeni , baada ya jukwaa kuwa bovu , na lissu alimaindi sana ile kampeni ya geita,

ugomvi ni mgawo wa pesa;

huu ni ugomvi wa wana ukawa wataumaliza wanaukawa .

Ndo maana watu walisusa kumlinda edo hotelini ingawa kakaa siku 7 kwa ajili ya kugombea mwili.

Uongozi wa chadema , ili suala linawahusu 100% wanajua a-z

UDAKU;

Kunaweza kuwa kuna namna ya ukweli hapa ingawa inawezekana pia kuna exaggeration. Naanza kupata hisia kuwa kifo c mawazo siyo cha kisiasa kama tulivyoaminishwa humu na baadhi ya watu.
 
Unajua CDM TUNATAKIWA TUBADILIKE
MAMBO YA MSIBA YASHAISHA KILICHOBAKI TUKAJENGE CHAMA NA TUMSAPOTI RAISI WETU MAGUFULI TUAACHANE NA PROPAGANDA HIZI.

Hayo maneno ungewaambia CCM! Baada ya Mawazo kuzikwa wangeachana nae basi!
 
Toka uchaguzi umalizike chadema wamebakia na swaga moja tu kifo cha mawazo

Hao chadema wenyewe ndio wanahusika, yale machozi waliokuwa wanatoa pale msibani ni machozi ya mamba tu. Mambo ya mahela.hayo.
 
Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA, Mh Salum Mwalimu amesema wamelazimika kuitorosha familia yake ili kunusuru maisha yao baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake, kufanya fujo na kujaribu kuharibu kaburi lake kwa kutawanya udongo , limeripoti gazeti la mwananchi.

MY TAKE - HIVI GEITA WANAISHI BINADAMU WA AINA GANI ? Na je Geita kuna polisi kama maeneo mengine ya nchi hii ? Na je CHADEMA na RED BRIGADE mtaendelea na huu unyonge mpaka lini ?

Hiyo inaitwa nitoke vipi maana CHADEMA hawana la kuzungumza juu ya serikali ya sasa. They are looking for sympathy & nothing else, Hyo familia itafutwe kwa ajili gani? Au kaburi linatafutwa kwa ajili gani? Kama mbwa wamefukua kaburi labda lkn si binadamu
 
ukiona mtu anapinga ukweli jua kwamba amechanganyikiwa .

Sina jina la kumwita mtu apendaye kuchanganisha, kupotosha na kuwagawa watu kwa sababu binafsi. Uchaguzi umeisha hivi sasa ni muda wa kufanya kazi zenye maslahi kwa taifa na familia zetu.
 
Hao chadema wenyewe ndio wanahusika, yale machozi waliokuwa wanatoa pale msibani ni machozi ya mamba tu. Mambo ya mahela.hayo.

ukishindwa kuthibitisha hili nitaishangaa sana jf isipokupiga ban ndefu sana .
 
Hiyo inaitwa nitoke vipi maana CHADEMA hawana la kuzungumza juu ya serikali ya sasa. They are looking for sympathy & nothing else, Hyo familia itafutwe kwa ajili gani? Au kaburi linatafutwa kwa ajili gani? Kama mbwa wamefukua kaburi labda lkn si binadamu

sijawahi kumdharau binadamu yoyote kwenye nchi hii kwa kiwango nilichokudharau wewe .
 
Mkuu R.B,
Naanza kuhisi kana kwamba kuna jambo unalo lifaham zaidi ya hiki tunacho kifaham kuhusu kifo cha mawazo.
Ebu funguka zaidi aiseee.....
Sababu ninavyo ijia Geita, ina Police wakutosha, Geita ina kikosi maalum kwaajili ya operations hasa sababu ya mazingira na jografia ya mkoa huo. Na Geita ina kikosi cha FFU walipiga kambi pale Kasamwa ili kudhibiti matukio na hali ya ujambazi pamoja na silaha za moto zilizo tapakaa mkoani hapo.

utapotoshwa ndugu yangu, huyo anae mtaja kma katibu mkuu cio katibu mkuu pia million 700 kwa ajiri ya kuandaa jukwaa hilo jukwaani la aina gani? nipo geita nafahamu vzr nn hasa klitokea juu ya kifo cha mawazo tuna nyamaza tu rejea maneno aliyotamukiwa mawazo na mkuu wa eneo hilo, pili cku ya kupiga kura mawazo alikamatwa na mawakala wake tatu gari la mawazo lipo police mpk leo na lili kamatwa cku kadhaa kabla ya kupiga Kura unapata picha gan apo? na yy mwenyewe kuna andiko aliandkia tarehe 2Nov kuhusu police nita attach apa uone
 
Attachments

  • 1449228376861.jpg
    1449228376861.jpg
    58.4 KB · Views: 259
Last edited by a moderator:
Wanataka milioni 700 alizogawana mkiti na katibuwa mkoa ;

maandalizi ya kampeni ya edo . Katibu alikimbia wakati edo anakuja mpaka leo ajulikani , na mil 200.

Ndo maana edo alisusa lupiga kampeni , baada ya jukwaa kuwa bovu , na lissu alimaindi sana ile kampeni ya geita,

ugomvi ni mgawo wa pesa;

huu ni ugomvi wa wana ukawa wataumaliza wanaukawa .

Ndo maana watu walisusa kumlinda edo hotelini ingawa kakaa siku 7 kwa ajili ya kugombea mwili.

Uongozi wa chadema , ili suala linawahusu 100% wanajua a-z

UDAKU;

mtaje uyo katibu wa geita
 
mkuu r.b,
naanza kuhisi kana kwamba kuna jambo unalo lifaham zaidi ya hiki tunacho kifaham kuhusu kifo cha mawazo.
Ebu funguka zaidi aiseee.....
Sababu ninavyo ijia geita, ina police wakutosha, geita ina kikosi maalum kwaajili ya operations hasa sababu ya mazingira na jografia ya mkoa huo. Na geita ina kikosi cha ffu walipiga kambi pale kasamwa ili kudhibiti matukio na hali ya ujambazi pamoja na silaha za moto zilizo tapakaa mkoani hapo.

wakati wa kampeni;
pesa waliwekeza milion 700; kwa mkoa geita kummaliza magufuri.
Chato, busnda na geita mjini.
Inavyosemekana pesa alipewa mawazo ambaye alikuwa m/kiti wa mkoa.
Katibu akachukua 200, nyingine marehemu .. Wapambe akawatosa . Nahisi ndo ugomvi wao.

Na ndo maana nasikia marehemu alipowaona akakimbia ---walikuwa wanamdai'

akili yao nadhani wanadhani bado anazo mkewe ndo maana fujo azitaisha.

Wana wakatoro walikuwa kimya ;issue wanaijua.

Source ; kijiwe cha ukawa katoro.. Utakuta bendera.

Ugomvi huu ; ukawa wanajua a-z . Wanaficha ukweli
 
Back
Top Bottom