Familia ya Alphonce Mawazo yaishi mafichoni

wakati wa kampeni;
pesa waliwekeza milion 700; kwa mkoa geita kummaliza magufuri.
Chato, busnda na geita mjini.
Inavyosemekana pesa alipewa mawazo ambaye alikuwa m/kiti wa mkoa.
Katibu akachukua 200, nyingine marehemu .. Wapambe akawatosa . Nahisi ndo ugomvi wao.

Na ndo maana nasikia marehemu alipowaona akakimbia ---walikuwa wanamdai'

akili yao nadhani wanadhani bado anazo mkewe ndo maana fujo azitaisha.

Wana wakatoro walikuwa kimya ;issue wanaijua.

Source ; kijiwe cha ukawa katoro.. Utakuta bendera.

Ugomvi huu ; ukawa wanajua a-z . Wanaficha ukweli

Ili tuamini tupia hata ushahidi au chanzo cha kuaminika aiseeee... maana hapo kwaaelezo yako nimeona ukiandika kwa:-
Unadhani.
Unahisi.
Chanzo/ kijiwe cha UKAWA katoro.
 
Mkuu R.B,
Naanza kuhisi kana kwamba kuna jambo unalo lifaham zaidi ya hiki tunacho kifaham kuhusu kifo cha mawazo.
Ebu funguka zaidi aiseee.....
Sababu ninavyo ijia Geita, ina Police wakutosha, Geita ina kikosi maalum kwaajili ya operations hasa sababu ya mazingira na jografia ya mkoa huo. Na Geita ina kikosi cha FFU walipiga kambi pale Kasamwa ili kudhibiti matukio na hali ya ujambazi pamoja na silaha za moto zilizo tapakaa mkoani hapo.

ivi uoni kama maelezo yako yanawaingiza police hatian?kama unawasifu lakin bado yanalipotiwa mambo kama haya,unataka 2amin kuwa wao ndo wahusija?haiwezeka wawe vizur lakin mauaji na matukio yaendelee??kumbe police gaita wana lakujibu
 
Last edited by a moderator:
wakati wa kampeni;
pesa waliwekeza milion 700; kwa mkoa geita kummaliza magufuri.
Chato, busnda na geita mjini.
Inavyosemekana pesa alipewa mawazo ambaye alikuwa m/kiti wa mkoa.
Katibu akachukua 200, nyingine marehemu .. Wapambe akawatosa . Nahisi ndo ugomvi wao.

Na ndo maana nasikia marehemu alipowaona akakimbia ---walikuwa wanamdai'

akili yao nadhani wanadhani bado anazo mkewe ndo maana fujo azitaisha.

Wana wakatoro walikuwa kimya ;issue wanaijua.

Source ; kijiwe cha ukawa katoro.. Utakuta bendera.

Ugomvi huu ; ukawa wanajua a-z . Wanaficha ukweli

kulikua na vikao vya chama viwili cku hio mawazo alikua anatoka kikao cha ndani ya chama anakwenda kikao cha pili akavamiwa katikati ya njia police walipewa taarifa wakasema tayari wanayo ina maana gan?
pili kitendo cha police kuuteka mwili wa marehemu Kulikua na nn behind?
aya mambo tuya ache tu yapite ila tunayajua
 
utapotoshwa ndugu yangu, huyo anae mtaja kma katibu mkuu cio katibu mkuu pia million 700 kwa ajiri ya kuandaa jukwaa hilo jukwaani la aina gani? nipo geita nafahamu vzr nn hasa klitokea juu ya kifo cha mawazo tuna nyamaza tu rejea maneno aliyotamukiwa mawazo na mkuu wa eneo hilo, pili cku ya kupiga kura mawazo alikamatwa na mawakala wake tatu gari la mawazo lipo police mpk leo na lili kamatwa cku kadhaa kabla ya kupiga Kura unapata picha gan apo? na yy mwenyewe kuna andiko aliandkia tarehe 2Nov kuhusu police nita attach apa uone
Mungu akulinde sana
 
kulikua na vikao vya chama viwili cku hio mawazo alikua anatoka kikao cha ndani ya chama anakwenda kikao cha pili akavamiwa katikati ya njia police walipewa taarifa wakasema tayari wanayo ina maana gan?
pili kitendo cha police kuuteka mwili wa marehemu Kulikua na nn behind?
aya mambo tuya ache tu yapite ila tunayajua
hakuna sababu ya kuficha ukweli mkuu , fichueni dunia ijue .
 
Hakuna watu nawachukia kama ccm..ata akiwa ndugu yangu namuona ni mpuuzi flani
 
kwa mtu anae ujua mji wa katoro unaweza kufanya tukio kwa gsri na uckamatwe? kuna barabara kuu moja tu ambayo ni rahic kui block izi barabara nyingne ni rough na ni inayokwenda ushirombo sasa apo police walishindwa kuwakamata waharifu? ok gari zlizo fanya uharifu zlikua hazina no plate na ni mpya ni zipi hizo? na tukio limetikoea umbali kidogo na kituo cha police nan ana ujasiri wa kufanya ivo kwa kutumia siraha za jadi alf mchana tuyaache tu aya mambo ila one day itafahamika tu
 
Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA, Mh Salum Mwalimu amesema wamelazimika kuitorosha familia yake ili kunusuru maisha yao baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake, kufanya fujo na kujaribu kuharibu kaburi lake kwa kutawanya udongo , limeripoti gazeti la mwananchi.

MY TAKE - HIVI GEITA WANAISHI BINADAMU WA AINA GANI ? Na je Geita kuna polisi kama maeneo mengine ya nchi hii ? Na je CHADEMA na RED BRIGADE mtaendelea na huu unyonge mpaka lini ?

Naomba kutoa ufafanuzi kwa hili. Geita wanaishi watu na jamii kubwa ya kabila la Kisukuma (kabila langu). Kinachofanyika Geita kuhusiana na familia ya marehemu Mawazo ni mwendelezo wa viongozi wa CCM kuonyesha umwamba wakiamini kwamba Geita imetoa raisi na hivyo hawataguswa aidha wakifikiri wanamfurahisha raisi wetu kitu ambacho sio kweli. Kabla ya kuendelea sana ningependa sana siku moja uletwe uzi wa wasifu wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita bwana Msukuma hapo ndipo mtajifunza mengi. Dini zote zinakataza kuuwa kiumbe cha mungu na siku zote jamii yetu imekuwa ni moja ya kabila wapole na wastaarabu japo kuna wachache sana wanaotumiwa pasipo kufahamu kuna maisha mengine baada ya kutoka duniani. R.I.P Mawazo.
 
kulikua na vikao vya chama viwili cku hio mawazo alikua anatoka kikao cha ndani ya chama anakwenda kikao cha pili akavamiwa katikati ya njia police walipewa taarifa wakasema tayari wanayo ina maana gan?
pili kitendo cha police kuuteka mwili wa marehemu Kulikua na nn behind?
aya mambo tuya ache tu yapite ila tunayajua

acha upotoshaji;
alikuwa kwenye kikao alipowaona watu akakimbia ;
kwanini akimbie peke yake wengine wakimshangaa??
alijuaje kama yeye ndo source target?
swali kwanini aliwahi kukimbia ili ali aalikuwa na wenzake ??????

udaku
 
Naomba kutoa ufafanuzi kwa hili. Geita wanaishi watu na jamii kubwa ya kabila la Kisukuma (kabila langu). Kinachofanyika Geita kuhusiana na familia ya marehemu Mawazo ni mwendelezo wa viongozi wa CCM kuonyesha umwamba wakiamini kwamba Geita imetoa raisi na hivyo hawataguswa aidha wakifikiri wanamfurahisha raisi wetu kitu ambacho sio kweli. Kabla ya kuendelea sana ningependa sana siku moja uletwe uzi wa wasifu wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita bwana Msukuma hapo ndipo mtajifunza mengi. Dini zote zinakataza kuuwa kiumbe cha mungu na siku zote jamii yetu imekuwa ni moja ya kabila wapole na wastaarabu japo kuna wachache sana wanaotumiwa pasipo kufahamu kuna maisha mengine baada ya kutoka duniani. R.I.P Mawazo.
kumbe Musukuma ndio mwenyekiti wa ccm mkoa wa geita ? Dah ! asante sana mkuu kwa kunifumbua .
 
acha upotoshaji;
alikuwa kwenye kikao alipowaona watu akakimbia ;
kwanini akimbie peke yake wengine wakimshangaa??
alijuaje kama yeye ndo source target?
swali kwanini aliwahi kukimbia ili ali aalikuwa na wenzake ??????

udaku
hivi wewe R.B una matatizo gani , mbona unarukia mambo usiyoyajua ?
 
Last edited by a moderator:
Naomba kutoa ufafanuzi kwa hili. Geita wanaishi watu na jamii kubwa ya kabila la Kisukuma (kabila langu). Kinachofanyika Geita kuhusiana na familia ya marehemu Mawazo ni mwendelezo wa viongozi wa CCM kuonyesha umwamba wakiamini kwamba Geita imetoa raisi na hivyo hawataguswa aidha wakifikiri wanamfurahisha raisi wetu kitu ambacho sio kweli. Kabla ya kuendelea sana ningependa sana siku moja uletwe uzi wa wasifu wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita bwana Msukuma hapo ndipo mtajifunza mengi. Dini zote zinakataza kuuwa kiumbe cha mungu na siku zote jamii yetu imekuwa ni moja ya kabila wapole na wastaarabu japo kuna wachache sana wanaotumiwa pasipo kufahamu kuna maisha mengine baada ya kutoka duniani. R.I.P Mawazo.

wacha uongo, wenyeji wa katoro ni walongo (bana ng'weli) hao ndo akina DC makonda wao wanapua kubwa kama wahima wa kongo na sio wasukuma, pia wapo wanyarwanda waliohamia miaka mingi hao ndo akina mawazo, pia pale ni centre ya kwenda machimbo ya nyarugusu matabe mgusu na tembo mine hivyo kuna mchanganyiko wa makabila kwa sasa wakazi wengi wa katoro ni wanyantuzu. Naomba usilete porojo zisizo na maana.
 
Kama kuna masahihisho mkuu unisaidie (siku nyingi siko huko aidha mkoa ama wilaya)

sasa hauko geita kwanini ulete uongo hapa? halafu ukikamatwa kwa makosa ya mtandao usumbue ngudu zako kukudhamini
 
wacha uongo, wenyeji wa katoro ni walongo (bana ng'weli) hao ndo akina DC makonda wao wanapua kubwa kama wahima wa kongo na sio wasukuma, pia wapo wanyarwanda waliohamia miaka mingi hao ndo akina mawazo, pia pale ni centre ya kwenda machimbo ya nyarugusu matabe mgusu na tembo mine hivyo kuna mchanganyiko wa makabila kwa sasa wakazi wengi wa katoro ni wanyantuzu. Naomba usilete porojo zisizo na maana.

Kwani ni ugomvi ndugu?. Nimezungumzia Katoro au nimezungumzia Geita. Anyway nisalimie watu wa Lwamgasa na hapo Katoro.
 
Back
Top Bottom