Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,978
- 285,465
Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA, Mh Salum Mwalimu amesema wamelazimika kuitorosha familia yake ili kunusuru maisha yao baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake, kufanya fujo na kujaribu kuharibu kaburi lake kwa kutawanya udongo , limeripoti gazeti la mwananchi.
MY TAKE - HIVI GEITA WANAISHI BINADAMU WA AINA GANI ? Na je Geita kuna polisi kama maeneo mengine ya nchi hii ? Na je CHADEMA na RED BRIGADE mtaendelea na huu unyonge mpaka lini ? Nakala ya uzi huu imfikie GODBLESS Lema akiwa arusha mjini .

Attachments
Last edited by a moderator: