Wanataka milioni 700 alizogawana mkiti na katibuwa mkoa ;
maandalizi ya kampeni ya edo . Katibu alikimbia wakati edo anakuja mpaka leo ajulikani , na mil 200.
Ndo maana edo alisusa lupiga kampeni , baada ya jukwaa kuwa bovu , na lissu alimaindi sana ile kampeni ya geita,
ugomvi ni mgawo wa pesa;
huu ni ugomvi wa wana ukawa wataumaliza wanaukawa .
Ndo maana watu walisusa kumlinda edo hotelini ingawa kakaa siku 7 kwa ajili ya kugombea mwili.
Uongozi wa chadema , ili suala linawahusu 100% wanajua a-z
UDAKU;