Familia ya Alphonce Mawazo yaishi mafichoni

Familia ya Alphonce Mawazo yaishi mafichoni

Bila shaka wewe ni mmoja wa mazombie wa nchi hii. Kama umeshindwa kuona uhusiano basi unapaswa kufungwa jiwe kubwa la kusagia shingoni mwako ukatupwe kwenye kilindi cha Bahari.

Jiwe mfungwe nyinyi mang'ombe ya Lowasa, huna akili kabisa!
 
Ndo akili ya Lumumba kutaka kunawa mikono kwenye hayo mauaji? Endeleeni,ila mkumbuke,Muda ni mwalimu mzuri sana. Mtafundishika tu one day!

Tatizo nyie chadema mlidhani uovu wenu hautajulikana sio!?
 
mkutano wa lowasa wa mara ya kwanza ulishindikana kwa sababu kuu zifutazo.
I. Alichewa kufika mkutanoni alifka saa 17:45 wkt mkutano ulitakiwa kuisha saa 18:00 na kwa sababu alichewa chato
ii. Jukwaa halikua kubwa so halikutosha kufanya mkutano mkubwa kma ule
iii. Sound system haikua nzuri ikabid wa hairishe mpk cku nyingine,
sasa unataka kusema hizo pesa zlikua za kuandaa mkutano m1 au vp na chadema watakua wajianga kiasi gani pesa za campaigns akaenazo mtu na cio chama?
kaa kimya ; kama ukuwepo kwenye mkutano.

M/kiti mbona kabunya 10 bil peke yake .
 
kamanda Mawazo neema ya Mungu ipitayo akiliii zotee ikaifadhi Moyo wako nawe upate furaha kuu
 
Back
Top Bottom