Familia -ikulu nyumbani kwao

adobe

JF-Expert Member
May 6, 2009
2,776
1,877
icon13.png
icon13.png
icon13.png
icon13.png
icon13.png
icon13.png

THE BILLIONEERS
 
Attachments

  • 167766_109372525805129_100001971478777_66694_6101593_n[1].jpg
    167766_109372525805129_100001971478777_66694_6101593_n[1].jpg
    53.6 KB · Views: 741
  • 199708_116665215075860_100001971478777_117890_2513177_n[1].jpg
    199708_116665215075860_100001971478777_117890_2513177_n[1].jpg
    48.4 KB · Views: 885
hii sio familia takatifu........rekebihsa na usirudie tena
 
It is unfair naming it as 'A Holy Family'. Who is holy among them- the father, the mother or the son?
 
Kuna watanzania wanafikiri hawa mafisadi wa migongo ya watanzania ni special sana kuliko 43milioni tanzanians. Kikwete na familia yeake wanafikiri wao wanaakili sana na walizaliwa kuchukua kila kitu kuanzia madini mpaka mashamba na mikataba yote ya serikali. Mimi naona niishie hapa, sina shida hivyo ila wengi tunafurahi na kuishi maisha ya kufanya kazi na kulipwa kwa jasho lako. Ndugu wengi na tunaowengi sana mikoani na vijijini wanateseka kwa ajili ya hii familia. Tuwakumbuke wote hasa wale wafiwa Arusha na sasa Tarime kwa kutafuta maisha kwa kila hali na mali.

Muhimbili+hospital.jpg

What a killing this is? jk anafurahi sana kusomesha watoto wake ila hawa wote hawana haki ya elimu, hongera jk na familia zenu

b2.JPG
 
Inasikitisha sana mkuu,ndo watawala hao.
 
Familia ya JK wana haki zote za kujumuika na kufanya sherehe za ki-familia ndani ya IKULU - Tuache kuwa wanafiki!
 
thats the way it is my dia hilo ndo life la tanzania!!! kwa hali kama hii umaskini tz utaisha kweli????????????????????
 
Nyerere aliwahi kusema
Ikulu ni mahali patakatifu, ni uongozi upi wa nchi yetu tangu ya baba wa taifa aliwahi kuongoza nchi yeye na familia yake kiasi hiki.

Kwani viongozi walopita hawakuwa na familia na wajukuu kama JK na rizi wake.We ngojea nchi hii ishikwe na viongozi mahiri uone jinsi kina JK na familia yake watakavyoikimbia kuomba maficho
 
Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni. JK ni mmoja kati ya Wazee wanaojali familia, Pamoja na mapungufu yake yoote kama binadamu bado anavyovitu vizuri, na hatuwezi kumsakama kwa familia yake.Ni kweli nchi inayo matatizo, inao ombaomba, Lakini bado familia ni msingi mzuri wa kujenga upendo.
Kwa kweli Tabia ya kujali watu na shida zao hii ni yake binafsi, Japo mara nyingine tunaponda kuwa kwanini rahisi anakwenda huku na uko lakini hivi ndivyo alivyo yeye kama JAKAYA, na si suala la urais.
 
Back
Top Bottom