Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Mpaka leo watu wanatongoza duh, mm najua unashika mkono na kwenda nae
 
Nikiwa mzaliwa wa sikukuu na kiungani,FF +canada= jibu kama linakuja,kama ndie yeye bi mkubwa ni mtu poa sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Mitaa yangu hiyo, siyo kwa kuishi, ila ndugu, jamaa na marafiki ni wengi sana mitaa hiyo. Lakini zama hizo lazima nikatize mtaa huo kwenda shule. Nimesoma Kisarawe.

Pengine hata wewe nakujuwa kama wa mitaa hiyo na wa enzi hizo.

Nawafahamu huko kina marehemu Isihaka, kina Sharifa Hashim na ndugu zake Mohamed Hashim (mkweche) Saleh Hashim, Abdallah Hashim huyu akamuoa shoga'ngu Bi Joha Simba. Hao watoto wa Marehem Sheikh Hashim walikuwa Somali na Sikukuu siyo mbali na hapo kwenu.

Kiungani hapo yupo Bashok baharia huyu, wapo kina Duli, Eddy na Chismo na dada zao, kona hapo. Isije kuwa ndiyo kwenu.
Wapo kina Dahal wote nawafahamu.

Mitaa hiyo ya gerezani na kariakoo wote tulikuwa tunajuwana, kabla ya wavamizi wakuja na mwenge kuja kutuchafulia jiji letu.

Nikumbushe kina nani wengine.
 
Nadhani kuwa au kutokuwa na hela ni relative term. Inategemea unataka hadi niwe na kiasi ndio wewe uone kuwa ninazo au la, ufafanuzi zaidi tafadhali!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anza kuonesha udume wako kwa kutoa sadaka tu. Kuna mtu ana kituo cha yatima anahitaji sana sadaka zenu.

Jogoo uwike kwanza usikike, jogoo bila kuwika si mtetea huo.

Nikutumie namba za kituo cha yatima utume sadaka zako?
 
Duh, Mpenzi Faiza, ni vile tuu hunijui vizuri,
Mimi ni Msukuma niliyezaliwa Ocean Road
Baba na mama watumishi wa umma wa ile Idara!.
Nimesoma O'Bay-Tambaza-Ilboru-TSJ. Mimi ni wa 60s, Ephraim Kibonde ni wa 70s, Kibonde sio tuu ni mdogo wangu sana!, mimi na Kibonde tuna 5-year age gap!, na amini usiamini mimi nimemfundisha kazi Kibonde, japo wote ni watangazaji, kwenye hizi fani za vipaji, Mwalimu anakuja kuwa cha mtoto mbele ya mwanafunzi. Hata katika Muziki, Mwalimu Guromo wa Nuta Jazz, Juwata Jazz, Ottu Jazz na mwisho Msondo Ngoma, baada ya kuimba kwa miaka 40, bila kuwa na uwezo wa kununua motokari, ni Diamond Platinumz amekuja kumnunulia gari lake la kwanza katika maisha yake, hivyo Ephraim Kibonde alikuja kupata umaarufu kuliko waalimu wake na kaka zake!. Mimi niliingia kwenye fani ya utangazaji kwa kusomea na kwenda shule, Kibonde aliingia direct kutoka kwenye u MC na sijui kama alikujaga kwenda shule zile za brush up!.

Wakati mimi nasoma Primary O-Bay, Kibonde (RIP) yuko Chekechea, wanakaa mtaa wa Uganda Evenue. Mimi niko darasa la 6, Kibonde anaanza darasa la kwanza!. Wakati mimi niko sekondari Tambaza, naanza form 1, Kibonde (RIP), alikuwa primary Muhimbili darasa la 3!, we share the same compound. Mimi namaliza Tambaza form 4 nakwenda kuanza A level Ilboru hadi namaliza, Kibonde hajamaliza hata primary!.

Mimi nimemaliza shule, nimeenda chuo nimemaliza, nimeanza kazi ya utangazaji RTD mwaka 1990
Kibonde anaaza sekondari ya Shaaban Robert.
Mwaka 1994 TV zinaanzishwa Kibonde hajamaliza sekondari!.

Nimefanya kazi miaka 5 RTD, nikafatwa
Na mhindi wa DTV Shabbir Dewji, na baada ya miaka miwili DTV ndio Ephraim anachukuliwa na Shabbir Abji CTN, Wakati wote wa Kiti Moto, Kibonde alikuwa bado, CTN ime merge na DTV kuanzisha Channel Ten 1997 nimemfundisha kazi Kibonde for 2 years hadi 1999 mimi nikarudi serikalini kuanzisha TVT!.

Kitu ambacho sii kweli, usidhani Masai Studio waliniokota, nilikuwa nafanya Kiti Moto nikiwa na kazi yangu DTV tena kwa taarifa yako sikuanzia na Kiti Moto, kipaji changu cha Talk Show Host kilivumbuliwa na mama mmoja wa Kihaya, Beatrix Mugishwage na Mjerumani mmoja, Wolfgang Baraniek kupitia kipindi cha "Mada Moto Uchaguzi 95", ndipo Masai Studio wakaniona baada ya uchaguzi wakaanzisha Kiti Moto.

Kitu ambacho Masai Studio walinisaidia sana ni mwaka 1997, Tajiri Reginald Mengi alikinunua Kiti Moto toka DTV kikahamia ITV, mimi ikanibidi kuacha kazi DTV ili niajiriwe ITV, kilichotokea naomba nisikiseme ila nikajikuta jobless, Jove Consalves wa Masai Studio akaokoa jahazi, hadi kipindi kilipo kufa, akanipele mimi na familia yangu tukahamia UK, then US, nimekuja kurudi Bongo 1999 kuanzisha TVT na hadi leo familia inaishi US!.

Katika kujifagilia ili kukubaliwa na Faiza Mwaka 2003 niliachishwa kazi TVT kwa summary dismissal kwa kosa la insubordination, and it was a
blessing in disguise maana ndio niliabzisha PPR, na mimi kwenda UDSM sheria kwa miaka 4 ya LL.B tena ni with honours, hadi 2007, 2008 nikajiunga JF na kuanza kumzimia FF kwa hoja zake na ile avatar yake yenye hijab na wanja, sura kama Siti Binti Saad au Um Kuluthum, mimi huniambii kitu!.

Kwa Kiti Moto, nawashukuru sana wote kuanzia Ali Oki, Jove Conslves, Eric Fernandez, Babu Joshua Mwaituka, Agnelo, Farid Jabir, Islam Barafaa, Sheikh Jabir, Mzee Shaffi Adam Shafii, Fresh Nzowa, Silvia Mndala, Nuri, etc.

Panapo majaaliwa mwaka huu ndio mwaka wangu wa mwisho kwenye fani, nimetumikia miaka 30, hivyo najipanga kufanya farewell.

Ukinikubalia, wewe sasa ndio unakuwa wa kiutu uzima wa kufa na kuzikana.
P
I salute you

It's Scars
 
Mapenzi upofu, ukipenda chongo huita kengeza, wakati kwa mmoja ni kibibi, kwa mwingine ni kigori/kigoli maana kule kuna elasticity, hakuzeeki na raha ya kule sio umri wala rufundi bali the atitude of mind, ukimpenda Faiza, ukimpata utafurahi regardless ya umri wake, kaolewa mara ngapi, kazaa watoto wangapi etc.

By the way kuna member humu alikuwa akiitwa
Gombe lenye Sugu, sijui kama bado yupo, kama yupo, watu wa kusubiria tutaendelea kusubiria, si unajua tena vyakula vingine, havinaga makombo, ni kama tende na halua.
P
Bob fanya maamuzi utakayoona kwako ni sahihi bila kuangalia dini uliyonayo inasema nini juu ya hilo


It's Scars
 
Anifahamu wapi huyo anajishaua tu, hujuwi visa na mikasa ya ma "facilitators"?

Huyo kala nondo yangu moja tu kwenye uzi wake akawa anatafuta pakutokea. Eti ananitongoza! Nikaona isiwe shida, yanini kuwaharibia wachangiaji wengine wakati kuna uzi mahsusi kwa wanaojidai kunitongoza, nikamvuta huku ndiyo unamuona anabwabwaja (note neno bwabwa) na kuhororoja hovyooo.

Haijibu ile nondo niliyomwachia kule. Guaranteed.
Heheeee....(note neno bwabwa). Speaking in tongues and codes....vijembe kweli kweli!
 
acha uoga ulileta matusi mwenyewe tuendelee tu, wazazi wa nini humu wakati wakutongozwa ni wewe?, mimi na Pascal ni tofauti sijui kama mwenzangu ni mzee wa kufunua kisha tunafunika, kama nitakavyokufanyia endapo ukajichanganya kunipa hilo kopo lako,
Faiza cheka weeeee.

Wakukuogopa mimi huyooo?

Wakutongoza wewe huyooo?

Hivi bi dada ukisoma huelelewi kumbe? We wakutongoza au wakutongozea? Weee jinsi unavyoandika si unaonesha wazi kuwa ndiyo walee.

Kumbe kuna matusi katika kutongozana?

Hivi hujawahi kumfunua chupi mama'ko? Maana nyie watoto wa kukimbilia kutowa mkono mna makubwa kuliko baba zenu, kama mnawajuwa.
 
Bob fanya maamuzi utakayoona kwako ni sahihi bila kuangalia dini uliyonayo inasema nini juu ya hilo


It's Scars
Dini ni moja tu duniani. Zingine zote majanga tu. Dini inayofundishwa na mashoga kwa 80% nayo utaiita dini?

Si hasha na huyo mwenzako ni waleeeee, vipi wewe, Mkatoliki?
 
Back
Top Bottom