mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,053
- 4,825
Pm huwa sijibu upuuzi, tongoza hapa hapa, usiwe domo zege.
Aaamin...!Faiza....! Si rahisi sana japo inawezekana kwa mtu kua na hisia na mapenzi ya dhati kwa mtu pasi na kumuona.
Si kwa uzuri wa sura wala maumbile yako, si kwa ukubwa wa jina wala umaarufu wako.........
Ila Hekima, Busara na uwezo wako mzuri wa kufikiri na kuchanganua mambo ndivyo vilivyo nivutia kwako.
Bubu mwenye kinywa kizuri hakika maneno yako yameijenga taswira yako katika fikra zangu,
Nifanye niwe wako tafadhali..........!
Naahidi....... Nitakupa utulivu na nitakuongoza vyema.
Bi khadija (40) alipomuoa Mtume Muhammad (S.A.W) (25), Mtume alikuwa na pesa yoyote?Haya punguani mwengine huyo anataka nimuoe.
Una pesa?
Bibi ni kweli unawaita wanaokusumbua PM au ni kwamba umeona aibu kuweka tangazo kule love connect?
Sent using Jamii Forums mobile app
Relax Mkuu, easy your mind, don't be that serious. JF ni sehemu ya ku-enjoy pia.Mkuu katika siku umeanzisha nyuzi ya kitoto ni leo?
Hii nyuzi imekaa kikahaba sana, hua nimekueka group la wanawake wenye ubongo mkubwa sana humu Jf ...but not anymore
Naanza kuamini wengi wa wasichana jf hawana utofauti na wale wa badoo,sema ndo vile baadhi wanajitahidi sana kujificha hadharani ila ukimuotea angle yake utakuta ni walewale...leo mkuu umeteleza sana,au ulikua unapost ktk ID ya matukio bahati mbaya umepost kwa ID yako ya heshima?
Narudia tena...Huu uzi ni wa kitoto mno...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nataka nikutongoze, wewe mzuriWale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Kama kukupnda wew n maradh faiza..sihitaji nitibiwe bora niwe chakaram nipigae watu mawe ...kuwa wangu mahamumu wewe isksmbue ...dawa yang ndogo faiza n mm nipendwe na we weWale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Ok, basi nitatumia njia halali!Kuna kutongozana kihalali na kutongozana kiharamu.
Uislam raha sana, yote hayo tunafundishwa.
Hapo wajihami. Watu hawatongozi hadharani Bali huchumbia huchumbia na kuvisha Pete hadharani. Mengine yote siri! Mpaka tuone tena.nundu kubwa na baadaye MTU anachomoka ndiyo twajua kumbe!!!!! Sasa labda mwendawazimu atongoze hapa!au jaribu kutongoza wewe uoneshe mfano wengine waige. Kuna mambo ya faragha na hadharani. Kutongoza so hadharani!Pm huwa sijibu upuuzi, tongoza hapa hapa, usiwe domo zege.