duh women kazi tunayo yani mtu anaomba game kunipima? anapima nn sasa?? uvumilivu, mnato ama nn? lakini ndomana tukasema ka ishu ni game tu muwe wazi ili tuepuke maumivu ama dreamz zisizo na uhalisia!!! kwani huenda hata mie nikawa nahitaji game tu kutoka kwako and nothing else.....
Nilimaanisha hivo hivo!!!!!! Its my VA J J so nampa ninae amua! Sio mtu kunipangia nimpe nani, nani nisimpe! Maisha ni kuchagua! Nimechagua kushi nitakavyo!!!!!!!!
Hahahaaaaaaaaaa! Hili la maigizo juzi kwenye post ya Mwanaume aina hii ni Jakamoyo nililijibu watu wote wakakaa kimyaaaaa! Hakuna alieongeza neno! Naomba ukasome mule ndo utanielewa zaidi!!
Tatizo ruta kama unaishi kishamba usidhani wote!!!!!!!!!! Wewe kama huna courrage ya kwenda na wakati baki nyuma ila usifosi tubaki wote!
Hili nalosema hapa sijui nani alifanyi! Sijui kwa kweli! Ndo hawajabisha! Wameona humo maofisini mwao mambo yalivo rahisi!
Mimi kama mwanaume nimempenda, nimeridhika nae kwanini nimyime!!!!!!!! Kwanini nijidhulumu kisa najishuhsa huyu mzuri, simuwezi! (Hili la Inferiority complex nililijibu nalo kule watu wakaufyataaa kimyaaa! Pitia na wewe)
Swala la kuwa peke yako au wengi ni matokeo!!!! Mi sio muoga wa kujikatisha tamaa hata chembe! Wabaya wenyewe wana list ya mijitu! So mimi namkubalia akibadilika si namuacha!
Punguza ushambaaa! Times are changing! Miaka ya 1990s imepitwaa! Kama umebaki baki, n reserve ya self! Tunaogawa tuache kabisaaa kwani ni vya kwetu wenyewe ndo tunaovigawa!
Sio redds leo jpili! Humu JF watu ukiwaendekeza watakupangia ulale na nani na mda gani!
Nilimaanisha hivo hivo!!!!!! Its my VA J J so nampa ninae amua! Sio mtu kunipangia nimpe nani, nani nisimpe! Maisha ni kuchagua! Nimechagua kushi nitakavyo!!!!!!!!
Hahahahahaha, yani @lara1 come down huo ulikuwa muongozo na ndio ukweli na wala ufungwi kubaki kwenye msimamo wako! Lakini me ninacho jua huwezi kutaka kucheza milele na lazima itafika wakati unataka mtu wa kutulia nae.
Alaf swala la kusema umejibu kule ndio unaniacha hoi kabisa yani tuhuma hapa ushahidi kule.
Ila inataka moyo sana..jamii zetu bado zinaamini 'returns' kwenye mapenzi lazima ziwe tangible benefits ya kuonekana na wengi...ndiyo maana ticha alipotupia biography yake mwishoni inaonyesha ALIOLEWA...Sijui unakabilianaje vipi na hii 'mentality'??
duh women kazi tunayo yani mtu anaomba game kunipima? anapima nn sasa?? uvumilivu, mnato ama nn? lakini ndomana tukasema ka ishu ni game tu muwe wazi ili tuepuke maumivu ama dreamz zisizo na uhalisia!!! kwani huenda hata mie nikawa nahitaji game tu kutoka kwako and nothing else.....
Mwalimu ameleta story yake nzuri nimeipenda.
But kwa dunia yetu ni ngumu sana as vigezo na masharti kuzingatiwa..
Wengine wanapiga porojo tu eti kusubiri ndoa sijui kujiheshimu na maneno yao mengi ya kuponda dot com wakati hata wao waliolewa/kuoa kwa kuogopa maneno ya watu.
Hata mimi harusi ni next year (lara 1 usipige majungu) lakini siwezi kuoa eti kisa unajiheshimu kwa kuninyima kidude hata kama sina feelings kwako nop, furaha na upendo ndo cha kwanza hata kama tumekutana viwanja,,
Maneno ya watu wa zamani yananikeraga sana yaani waoga waoga..
Lazima tukubali maisha ni yamebadilika sana na lazima twende na mabadiliko hayo, leo ni nani akusubiri kisa kidude miaka kibao.. Kwanza hao wenye vigezo ambavyo wadada wanavitaka ni exposed people ambao hawatingishiki kwa kunyimwa kidude..
Mtu kama kelvin twissa mshahara million 16, degree yake kafanya ohio huku eti anakutongoza unamtingisha kwa kumnyima kidude,, huku kwenye corpolate world eg vodacom, kpmg, pwc,delloite etc kumejaa exposed people kibao washatembea sana na kuhangaika sana, wanalipwa mamilioni na wapo smart kichwani vibaya mno ukiongelea kidude ndo heshima eti asiyekupa ndo umuoe lazima wakuone unazingua tu,,
Hizo ishu zilikuwa enzi za kina mama zetu dar unakuja kwa warranty..
Lakini zama zetu wazaz wenyewe wameshadata na mchaka mchaka wa career world tunakutana tunamegana na mambo yakienda poa harusi, na ikitokea mizinguo tunatengana kama kawa na watoto wanasoma na kula goodtime kama kawa na maisha yanaendelea
Hapo kinacho angaliwa una msimamo gani? Nadhani kama una msimamo huwezi kuyumbishwa kabisa!
Hiyo vita haiishagi mbonaaa! Im living my own life not my mothers life!!!! Kama nilivosema TIMES ARE CHANGING!!!!!!!!!
Twissa kazidi mnooo! Dudu yake imechunguliwa sanaaaa hapa town! Apunguze kwa kweli!
Otherwise yote uliyosema ni kweli tupuuu! Hivi vizee vitanyooka tu, si unajua You can not teach an old dog new tricks!!!!!
Hahahaaaaaaaaa! Muongozo wa kijijini uwe unawapa watu wa kijijini! Nani anacheza wewe? Misha siku hizi ndoa sio za kukimbilia! Unakaa unachukua mda wako kutest zali! Mi mambo yenu ya kijijini kumkubalia mwanaume mmbayaaa afu mshambaa kisa ana msimamo au atanioa mi naona upuuzi huo! Nakula kitu roho inataka! ONLY THE BEST FOR MYSELF!!! So hata nikitulia vigezo na masharti kuzingatiwa!
Kama niko single, kaja mkaka single, amekidhi standards zangu nimempenda, kanipenda, tumejadiliana tumeridhiana tuburudike! WHY NOT!Cha kujidhulumu pleasures nafsi yangu!!! Kisaaa namsubiria shamba boy aje na msimamo! Aaaaaaaah wapi!
Mi nakwambiaje hayo mambo yenu by the book nimegoma kuyafuata long time! I AM WRITTING MY OWN HISTORY!!!!!! Hizo laws za mabibi nimewaachia! Ngoja nikachukue ushahidi nije kukutupia humu!
Hivi sasa katika hizi zama zenu NDOA mnaipa nafasi gani??..
Unajua sie tumekuwa maisha yalikuwa sio kama leo, ukiwa na vijishilingi tu mademu kibao..sasaivi you need to establish a status in order to catch a gorgeous lady?.....
kwahiyo loya ww unaombaga game kupima msimamo wa msichana?? mbona tecnic za zamadamu hizo?? msimamo wa mwanamke haupimwi kwa kutoa ama kubania game.....anaweza kukubania ww na wenzio wakawa wanajimege kisela sasa huyo utamweka kwenye kundi gani?? times are changing loya...achana na theory za zama za mawe za kale....
Mdogo wangu MKATA KIU nafurahi sana nikisikia pia mitazamo yenu wadogo zangu..
Nimependa sana ulivyo'analyze' hapo juu..In a serious note: Unapoingia ndoani usisahau kunipa CARD ya harusi
I believe mwakani ntakuwa nimerudi bongo baada ya kubeba box za kutosha huku unyamwezini............