Fair Game Katika Mahusiano!!!!!!!! Kuwepo Rules na Guidelines!!!!!!

veeery sweet!!!
 
BAK nimekusoma ...but anachosema lara 1 ni kuwa 'tangu mnapoanza game basi rules na guidelines zieleweke ili mwisho wa siku asiwepo wa kusema ulinipotezea muda'...............................
 
Last edited by a moderator:

Hawa ndo wanajiponza kufanyiwa fujo wake zao ama kuzaliwa watoto wa nje! Mtu kwanini ujeoporadize mambo yako ya msingi wa vitu vidogo! Sema ukweli ule vituz kwa raha na amani!
 
Mwl gfsonwin asante kwa ushuhuda! Huyu loya kwa nini aliaharibu sasa! Any way nadhani wa kwako alikuwa huyo wa mwisho!

Msimamo ulio kuwa nao wewe mwl wangu@gfsonwin ni nadra kuupata kwa sasa si kwamba watu hawawezi bali ni life style walio hamua kuwa nayo, mahusiano ya mejaa maigizo sana,mtu ana wiki mbili kwenye mahusiano lakini amri ya sita imesha vunjwa hadi imevunjika can you imagine?.

Na hapa unakuta lawama nyingi ni kwa wanaume kuwa ni waongo lakini wanao sema wana danganywa misimamo hawana kabisa! Me nafikiri wasichana wangeiga mfano wako nadhani mahusiano yangekuwa yana kwisha salama. Fikiria mtu unakuwa na uhusiano na mtu miaka nane bila kusogelea zinaa, kwakweli ni msimamo thabiti sana maana kama mtu alikuwa ana mpango wa game tu lazima ajitoe mwenyewe!

Am proud of you mwl

Last edited by a moderator:
ahhahah tatizo watz wamezoea kusema uongo...na wanawake wengi wanapenda kudanganywa....
Hawa ndo wanajiponza kufanyiwa fujo wake zao ama kuzaliwa watoto wa nje! Mtu kwanini ujeoporadize mambo yako ya msingi wa vitu vidogo! Sema ukweli ule vituz kwa raha na amani!
 
we loya hebu acha porojo mabinti ndo hawan msimamo ama nyie ndo mnataka vidude first hand?? nyie ndo muache kulilia vidude mapema muwe wavumilivu la hamuwezi basi muwe wawazi....men wa type ya mume wa mwl gfsonwin hawako sasa hivi sasa iweje utake kufosi mabinti kuwa kama mwalimu while nyie mmechange?? be realistic
 
hii haifai kuiapply kwa mume wa mtu....ni bachela kwa bachela ndo mwake!!!

ha ha..haya Ciello...jamaa ana kitu atakioa na wewe unakijua,,,
anakutokea mnakubaliana kupeana good -tyme tuuu..
una uhakika huwezi kuwa na wivu kabisa??
SnowBall amesema hapo juu kuwa wengi wenu hamuwezi kuuvumilia huu ukweli,...hence lazima mpewe mchanga wa macho kidogo msione vizuri..
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine UKWELI nao una gharama zake...lolz

Hawa ndo wanajiponza kufanyiwa fujo wake zao ama kuzaliwa watoto wa nje! Mtu kwanini ujeoporadize mambo yako ya msingi wa vitu vidogo! Sema ukweli ule vituz kwa raha na amani!
 
nione wivu ili iweje?? labda yeye ndo anionee wivu miye na abadili mwelekeo kwa shori wake....akinidanganya atakuwa coward....
 
typical tz guyz...alwayz telling lies...una gharama na madhali umeamua kuplay ze game lazima uface hizo consequences...
Wakati mwingine UKWELI nao una gharama zake...lolz
 
hapa ndio nakupendaga mdogo wangu...
Makavu live au sio?..kusema kweli guys ndio tunatengenezaga mazingira ya kubandua kizibo mapema...Hata mwalimu nadhani hajafunguka vizuri ukute hata mshika pembe aliomba kidude..sema ticha alikuwa 'rigid'...

Weeeeeeeeee! Thubutuuuuuuuu! Times are changing siku hizi! Sisi wenyewe tunataka wanaume handsome wenye pesa zao! Isitoshe umzungushe mwenzio kwani bado Bikra! Koz ukimzungusha akikuta used unamkasirisha zaidi!

Siku hizi having fun na kuenjoy kuna maana zaidi!!!!!!! Its better nijiachie na a guy anayenivutia kuliko kujiachia na jitu halivutii ila ndo lenye msimamo wa ndoa! Give me a breakkkkkkkk! MY HAPPINESS AND ENJOYMENT COMES FIRST!

Haina kulazimishana siku hizi! Huko kwenye mechi za kirafiki mkikolezana nd mwaoana coz upendo unakuwa genuine!

Hii mbinu yenu ya 1980s ilifanikiwa enzi hizo watu wanatoka shamba hukooo! Ila kwa sie born here here! Aaaaaah Wapi! Humpati mtu mbona! Utazeeka bila kudo!
 
He who laughs last laughs longer...kusema ni rahisi..utekelezaji sasa??
Unadhani kibongobongo shoga zako watakusoma ukiwaambia 'hapa nakula good times tu..ndoa sio mpango mzima'
Prisoner 46664 hebu muulize Ciello kama ana kifua...

nione wivu ili iweje?? labda yeye ndo anionee wivu miye na abadili mwelekeo kwa shori wake....akinidanganya atakuwa coward....
 
Last edited by a moderator:
ticha kaficha details nyingi tu...kasimulia story ka ya abunuwasi, ngoja akiamka huenda akaleta story iloshiba nyama za kutosha....
hapa ndio nakupendaga mdogo wangu...
Makavu live au sio?..kusema kweli guys ndio tunatengenezaga mazingira ya kubandua kizibo mapema...Hata mwalimu nadhani hajafunguka vizuri ukute hata mshika pembe aliomba kidude..sema ticha alikuwa 'rigid'...
 
Namsaidia kujibu! Kuna option 2

1. Kama anaona wivu si anampa cha mbavu tu kwani kitu gani! Anajiepusha mapemaa! Na ni fair coz anaamua kwa kuwa na info zote!

2.Uchumba sio ndoa! Unajituma viuno vya kudead mtu hadi inapigwa substitution ya maana hapo! Kama mwanaume hana pete huyo mbona ni AVAILABLE FOR TAKING!!!!!!!!
 
hao mashosti nawaambia wa nn?? hiyo itakuwa siri yangu moyoni mkataba ukiisha ntawaambia jamaa tumetofautiana world outlook....hahahahahah
He who laughs last laughs longer...kusema ni rahisi..utekelezaji sasa??
Unadhani kibongobongo shoga zako watakusoma ukiwaambia 'hapa nakula good times tu..ndoa sio mpango mzima'
Prisoner 46664 hebu muulize Ciello kama ana kifua...
 
ticha kaficha details nyingi tu...kasimulia story ka ya abunuwasi, ngoja akiamka huenda akaleta story iloshiba nyama za kutosha....

Hahahaaaaaaaaaaa! Embu mpumzishe tichaa! Stori ina over 20 years toka i happen so its possible hakumbuki details vizuri! Cut her some slack!

Ila washika pembe wanafaidigi!!!! LOL! Ngoja na mimi niwakumbuke kwa sms usiku huu washika pembe wangu huu msimu wa X mass! You never know till you know!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…