Fainaly ya Miss chitchat piga kura hapa,mshindi kuibuka na vocha ya elfu tano

huu ni muda na wasaa wa dada madame B kung'ara so shostito wangu next time iwe wewe najua nami ntapatamo hata kavocha ka jero
 
Nakumbusha tu,Muda wa mwisho kupiga kura ni saa tano kamili isiku ambapo dakika chace baadae mshindi atatangwazwa na zawadi kutolewa,hivyo basi tunaomba washiriki kutuambia mitandao watumiayo kati ta Vodacom,Tigo na Airtel ili zawadi ziandaliwe,pasipo kufanya hivyo italazimika mshindi kuchaguliwa mtandao na waendeshaji wa zoezi hili.Ahsanteni

andaa vocha ya tigo tununue luku sie..hahahaaaa...!!. mia
 
Back
Top Bottom