Fainaly ya Miss chitchat piga kura hapa,mshindi kuibuka na vocha ya elfu tano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fainaly ya Miss chitchat piga kura hapa,mshindi kuibuka na vocha ya elfu tano

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Oct 1, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni kati ya [SIZE=4 [USER=80055]Madame B[/USER] [​IMG][/SIZE]na [SIZE=4 [USER=86898]charminglady[/USER][​IMG][/SIZE] nani zaidi?

  KUMBUKA
  1. one member one vote
  2. mwisho wa kura ni kesho saa tano kamili usiku
  nawasilisha
  UPDATES


  Zawadi imeongezwa mshindi wa kwanza atapata vocha ya thamani ya elfu saba (Tshs 7,000) na wa pili atapata vocha ya thamani ya Tshs elfu tatu(Tshs 3,000/=)

  Tunaomba washiriki wataje mitandao wanaoyotumia ili kuwaza kuwaandalia zawadi.waeleze kama wanatumia moja wapo kati ya mitandao hii tu, vodacom,Tigo,na Airtel


  PIGA KURA NANI ZAIDI


  USIKAE MBALI YAMEBAKI MASAA MACHACHE MAAANDALIZI YANAENDELEA

  Hapa jukwaani kaisha ingia Miss chitchat wa mwezi Sept,Si mwingine Bali ni Miss Remmy akiwa na Tabasamu lake Tayali kwa Kumkabizi mikoba Miss wetu wa leo kwaajili ya Mwezi October [​IMG]


  Lakini pia Muda si Mrefu washiriki wetu wanaochuana leo watawasili muda si mrefu hapa jukwaani nafasi zao ni kama zinavyoonekana hapa
  [​IMG] [​IMG]  UPDATE

  [​IMG] [​IMG]
  Tunaomba washiriki wakae tayari kwani zimebakia Takribani dk 23 ili tufunge kupiga kura tufanye majumuisho ya kura na kutangaza mshindi samba na kuwapatia zawadi zao kwa njia ya PM


  UPDATE
  Zikiwa zimebaki dakika chache nawaleta warembo wetu kama ifuatavyo
  [​IMG]


  MATOKEO

  Jumla ya kura zilizopigwa ni kura 37
  Jumla ya kura halari ni 33
  Jumla ya kura zilizo halibika ni kura 4

  Jumla ya kura zilizopigwa kwa charminglady ni kura 7
  Jumla ya kura zilizopigwa kwa Madame B ni kura 26

  Hivyo nachua nafasi hii kumtangaza Madame B kuwa ndio mshindi na ndiye MISS CHITCHAT OCTOBER 2012
  miss Remmy akabidhi Taji kwa miss Madame B
  [​IMG]  [​IMG]  ZAWADI ZIMESHA KABIZIWA KWA WASHINDI,MNAOMBA KUDHIBITISHA HILI
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nikichagua wote kura itakuwa imeharibika?
   
 3. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Lundenga wetu hujawatendea haki warembo wetu! Yaani mshindi zawadi yake elfu tano tu na ulimbwende wake wote duh!!!! ondeza sifuri kwenye zawadi yako bana!
   
 4. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Me yangu kwa madame B
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,743
  Trophy Points: 280
  Madame B (wangu)
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,743
  Trophy Points: 280
  Hakika huu utakuwa mchuano mkali sana!
   
 7. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  MadameB
   
 8. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mmmmh lawama huyu dada madame B na shostito Charming Lady mi sielewi
   
 9. W

  Wajad JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Madame B
   
 10. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wajad njoo huku nikunong'oneze
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,663
  Trophy Points: 280
  Najua kabisa Madame B akishinda hiyo vocha itauzwa nami ntaambuliamo japo kaginesi kamoja hapa Tongori. Madame usisahau kulipa fadhila kwa hii kura ya veto. Gesti ntalipia mimi.

  Come this way Madame B.

  Narejea mapangoni Tora Bora, Chechnya.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,353
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,606
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wewe muzee piga kura na sio kampeni sawa ungetupia na poll kuonesha msisitizo..

  chukua hii Madame B
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  je utatuma kweli maana tusiishie kupiga kura tu halafu mshindi aishie kupewa ujiko tu..
   
 16. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sa cjui nimchague nani mbona mchuano mgumu lol
   
 17. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  haya bana.
   
 18. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  wote wanastahili ila kura ndi hivyo tena, ni kwa mmoja tu
  Take mine , Madame B
   
 19. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  madam B
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,663
  Trophy Points: 280
  We mwenyewe si umeona kura imemdondokea Madame B? Hii yote ni kwa ajili ya uhakika wa kupewa japo kaginesi kamoja na si vinginevyo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...