Fainali Uzeeni!....

Why not day zero (day 0)???? Kuahirisha mwanzo wa uzee naamini ndo kosa kubwa linalotupofusha!

Lakin uzee anaouzungumzia Mbu ni ule ambao unaanza baada ya kuishi kwa kipindi fulani duniani na unajua maisha yalivyo
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Good one Mbu, good one.........

when i was getting married (over seven years ago) i wanted a woman who was attractive, smart, a mother to my kids, a lover, a friend, sweetheart.... you name it!! i never factored issue ya maisha yetu after 70 years

Most of us (i believe) marry for the happy moments we dream of and sometimes we forget this important life after 60's

I only started to think of such scenarios last year when i watched a certain movie... and to be honest, so far i am too deep on investing for the kids and quality time

Kids are always a very good energy when couples get old
 
Ukinisimulia mambo ya uzee nawakumbuka sana wazee wangu kuje kijijini. Shukrani kwa walioweka huduma ya m-pesa...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
I wish JF should stay for 30 years or so to come. Kisha tukaja ulizana imekuwaje mwenzangu?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
I wish JF should stay for 30 years or so to come. Kisha tukaja ulizana imekuwaje mwenzangu?
Umenikumbusha kuna jamaa wali-release picha ya late Princess Diana kumuonyesha angekuwa anatimiza miaka 50 angekuwa anafanana vipi
 
Good one Mbu, good one.........

when i was getting married (over seven years ago) i wanted a woman who was attractive, smart, a mother to my kids, a lover, a friend, sweetheart.... you name it!! i never factored issue ya maisha yetu after 70 years

Most of us (i believe) marry for the happy moments we dream of and sometimes we forget this important life after 60's

I only started to think of such scenarios last year when i watched a certain movie... and to be honest, so far i am too deep on investing for the kids and quality time

Kids are always a very good energy when couples get old
The following user The Finest says thank you for this useful post
 
What goes around comes around.... Usipojiwekea akiba ya uzeeni, ujue unachezea shilingi chooni.
Tujiandae! Ujana ni moshi...unafuka huoooo wenda zake!...kufumba na kufumbua utajikuta marafiki wanapungua
kwa rate ya mafungu ya 10%...na kujikuta mkiwa...

QUOTE]

Dah, Mbu ukisema haya maneno unanikata ngebe zote kiongozi,
unabaki kushtuka, na usipoangalia waweza kupata na shinikizo la damu lol.....
kweli fainali uzeeni, ikishafika point hii ujanja wote unauweka mfukoni lol.....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahaha kweli lakini nyamayao
Afu eti ni kweli kuwa watu wa huko Kasikazini wanaishi muda mrefu kwa sababu wanakula maparachichi kwa wingi?? Niliwahiuliza nikajibiwa hivi sa sijui niliingizwa mkenge!! But kule wazee wenye umri mkubwa naona kama wako kwa wingi (I might be wrong tho)

heeee, hilo jipya kwangu, ngoja nimcal mama nyamayao anitumie mengine kwa wingi...hahaha ctaki kujua ntazeeka vipi jamani wala cpendi kuzeeka kabisa, cjui ntafanyaje kwa kweli...hahahah
 
Nilikuwa natafuta kijana mwenzangu hatimaye nimempata thanks GOD.Lol!!!

vijana wapungeze Muda/feza za kuendekeza heshima bar ...... sio unapofika kustaafu unakuwa ombaomba wakati ulikuwa na nafasi nzuri ya kujihakikishia maisha mazuri ya baadae.... hakuna ajuaye atafikisha umri gani isipokuwa aliye juu...... ni bora kujiandaa kuliko kuona hautafika umri fulani je ukifika na ulichemsha itakuwaje? ndio mwanzo wa kusumbua wale waliojiwekea mafao ya uzeeni
 
Kamanda najua huna usemi, na nina uhakika umewafowadia wale warembo . . . .
Halafu mambo ya kujifanya Invisible hautaki kuonekana ngoja nianze kufanya TRACE ROUTE hapa mujini nione nitaishia kukupata kwenye destination ipi i hope hawataniambia "Destination Host Unreachable"
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Back
Top Bottom