Fainali Uzeeni!....

Nakubaliana na wewe lakini wengine wanapitiliza.....wanajisahau wanaona hapo ndio mwisho

hao wa kujisahau wapo ndugu yangu, tunawaona wengi tu but nadhani inategemeana na ulipotokea, kwa lyfe nililotokea mie kujisahau itakuwa ngumu sana tena sana....
 
Hahahahah
Kwanza nam-miss hapa JF na dada LD maana bila yeye mambo maisha yangu hapa JF yangekuwa magumu.
Mimi niko available sana mkuu wangu, hata Maty ananipata kisawasawa ila ratiba za Asprin na Teamo ni kali mno, zinanishinda. Isitoshe mkuu ngoja nilambe likizo utaona fujo zangu, mpaka mtasema basi wenyewe.
Wewe si unapendaga kupanda Toyo . . . hahahah
Hahahaha!!! Hebu muulize Babu pensheni yake amewekeza wapi maana tetesi nilizozipata ni kwamba kawekeza maeneo ya ETIENNE'S
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Ivi ni kweli watu walioishi pamoja huwa wanafanana???( back to the topic)

maisha ya sasa wengi tunawekeza kwa watoto, tumaini la kufikia uzeeni limekuwa dogo. ( nimeipenda picha ya babu na bibi walivyoshikana) its lovely.
 
nakubaliana kabisa na hiyo, cjajisahau BW, najitahidi kuwekeza yacnitokee hayo coz ki ukweli inaogopesha huo msoto wa baadae, nipo 50/50..nawekeza na nafurahia ujana pia, najitambua kuwa natakiwa niwekeze but sio kimsoto ile nina elfu 10 nina kiu ya ballantin nishindwe kunywa nikiifikiria niikusanye niongezee kwenye tofali, huo msoto siutaki na naufanyia kazi ndugu yangu

Hahahaha umenifurahisha.............wakati unapata ballantin usisahau maendeleoa mengine........ili fainali uzeeni uendelee na ballantin usije kwenda kwenye ile nyingine ya mtaani sijui wanaita gongo
 
hao wa kujisahau wapo ndugu yangu, tunawaona wengi tu but nadhani inategemeana na ulipotokea, kwa lyfe nililotokea mie kujisahau itakuwa ngumu sana tena sana....

Umenena dearest...........unapojisahau ndio chanzo cha matatizo.......hata kwa waliotoka familia za juu wakijisahau fainali inakula kwao
 
...uzeeni, a.k.a..'retiring age' waweza adhirika kwa namna mbili;
1. Kwa wale waajiriwa, siku unapopewa notisi urejeshe nyumba ya kampuni/serikali ilhali huna kibanda wala pa kuhamia sababu hukujiandaa, au...
2. siku ya ugonjwa/msiba. Watu watapokuja shangaa miaka yote hukuwa japo na kajumba ka kujistiri ilhali kwenye ujana ulikuwa mwingi wa "matanuzi"...
 
Hahahaha umenifurahisha.............wakati unapata ballantin usisahau maendeleoa mengine........ili fainali uzeeni uendelee na ballantin usije kwenda kwenye ile nyingine ya mtaani sijui wanaita gongo

furahi tu mae uongeze cku za kuishi......huko ctafika aisee, ballantin nayo naiwekezea pia nimeiwekea akiba yake ya huko mbeleni....hahahaha
 
Asante sana mbu, ushauri wako una mshiko,
haijalishi hata kama hatutapata bahati ya kuufikia
huo uzee lakin kujiandalia ni jambo jema.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
furahi tu mae uongeze cku za kuishi......huko ctafika aisee, ballantin nayo naiwekezea pia nimeiwekea akiba yake ya huko mbeleni....hahahaha

Umenikumbsha ngoja na mie nianze kuweka akiba yake ya mbeleni.... inafunguliwa a/c yake hakuna kuwekuwa mpaka fainali
 
Mheshimiwa Moskwito salamu.

Unasalimiwa na mjukuu wangu mtiifu....

Haya nambie huu uzee unaouzungumzia hapa ni miaka mingapi hasa? Manake mi nna 65 na bado damu inachangamka!.... Nikiona mambo yanaanza kuharibika nachojoa bila kondom ili nife kabla sijaadhirika LOL
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Waende wazee kwa wazee sio vijana wanadandia fainali za wazee eti na wao watoke vipi
Wakikupata hawakuachii lol!!!

Hivi ukistaafu kazi kwa wahindi unapewa pensheni???
Naona Fidel kamaliza hapa chini

Kwa wahindi hustaafu ila wanakustaafisha kwa manufaa ya kampuni
Hahahaha!!!1

Umenikumbsha ngoja na mie nianze kuweka akiba yake ya mbeleni.... inafunguliwa a/c yake hakuna kuwekuwa mpaka fainali
Unaonaje tukifanya JOINT VENTURE lol
 
...maishani mambo mawili huwezi yaepuka.
- kuzeeka (...unless ufe, ujiue kabla ya 'siku zako')
- na kifo!

...kwa kiwango kikubwa, maisha ya uzeeni ni tafsiri ya jinsi mtu alivyoishi ujanani. Chunguzeni..
 
Mheshimiwa Moskwito salamu.

Unasalimiwa na mjukuu wangu mtiifu....

Haya nambie huu uzee unaouzungumzia hapa ni miaka mingapi hasa? Manake mi nna 65 na bado damu inachangamka!.... Nikiona mambo yanaanza kuharibika nachojoa bila kondom ili nife kabla sijaadhirika LOL
Dah!!! Weee mzee umeniharibia Ijumaa yangu lol!!!!
 
Unaonaje tukifanya JOINT VENTURE lol[/QUOTE]

hahahahahaha
ngoja nipate mwongozo wa kibenki nitakuPM.......nimegundua hii ni muhimu kwa fainali
 
...maishani mambo mawili huwezi yaepuka.
- kuzeeka (...unless ufe, ujiue kabla ya 'siku zako')
- na kifo!

...kwa kiwango kikubwa, maisha ya uzeeni ni tafsiri ya jinsi mtu alivyoishi ujanani. Chunguzeni..
Hahaha!!! Ndio maana hata wakati mtu ameishakuwa mzee anaendeleza mambo yake ya ujana ndio maana huwa nasikia wengine wanaambiwa "Huyu mzee sijui vipi ameishazeeka ila bado anaendekeza mambo aliyokuwa anayafanya wakati akiwa kijana"
 
Back
Top Bottom