Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faiza naomba nieleweshe juu ja jambo hili. Kunasehumu mkoani pwani Wilaya rufiji,utete. Kuna chemchem inatoa maji moto mda wote na maji hayo yanatokota kama yapo jikoni hivi kinasababisha hivyo. Na istoshe maji yale ni kama dawa kwa watu kwenye vipele ukioga Yale maji kesho vipele vyote vimekauka.

Naam, hizo ni chemchem za maji moto, zipo sehemu mbali mbali Tanzania na zipo nyingi sana na sehemu mbali mbali duniani. Kingereza zinajulikana kama "hot water springs" au "geysers".

Zingine zinakuwa za moto sana kiasi hakuna awezae kuzioga na zingine huwa vuguvugu na watu huweza kuoga.

Kutibu mapele ni kutokana na "minerals" virutubisho vilivyomo kwenye hayo maji.

Kuna chemchem kama hizo nyingi watu huamini kuwa kuna mizimu na huenda kufanya ada zao za kishirikina hapo.

Nchi zingine ni vivutio vikubwa vya utalii na utakuta sehemu kama hizo zimejengewa vizuri sana na watu huenda kujiburudisha kwa kuoga kwenye hayo maji ya moto:

dc0129f615830e85c36e263b9e6e902a.jpg

61.jpg

Ni maji yaliyoingia chini ya ardhi kutokea ardhini na kufika kwenye miamba ya joto/moto na kurudi tena juu yakiwa ya moto. Tazama:

95629-004-7EF6B7AB.jpg

Soma uzi huu pia: Maajabu ya maji Moto kisaki(Hot spring)
 
Naam, hizo ni chemchem za maji moto, zipo sehemu mbali mbali Tanzania na zipo nyini sana na sehemu mbali mbali duniani. Kingereza zinajulikana kama "hot water springs" au "geysers".

Zingine zinakuwa za moto sana kiasi hakuna awezae kuzioga na zingine huwa vuguvugu na watu huweza kuoga.

Kutibu mapele ni kutokana na "minerals" virutubisho vilivyomo kwenye hayo maji.

Kuna chemchem kama hizo nyingi watu huamini kuwa kuna mizimu na huenda kufanya ada zao za kishirikina hapo.

Nchi zingine ni vivutio vikubwa vya utalii na utakuta sehemmu kaa hizo zimejengewa vizuri sana na watu huenda kujiburudisha kwa kuoga kwenye hayo maji ya moto:

dc0129f615830e85c36e263b9e6e902a.jpg

61.jpg

Ni maji yaliyoingia chini ya ardhi kutokea ardhini na kufika kwenye miamba ya joto/moto na kurudi tena juu yakiwa ya moto. Tazama:

95629-004-7EF6B7AB.jpg

Soma uzi huu pia: Maajabu ya maji Moto kisaki(Hot spring)
Nyingi sio "nyini "!!!
 
Hapana, si neno moja. Kasome juu nimekueleza nini.
Kule uliniambia niandike kwa helufi ndogo ..... Sasa nalejesha swali....

Ni kweli mtukufu magufuli ametoka kwa MUNGU ilihali mambo yamezidi kuwa magumu kwa watanzania!?!?

1. Mkulima analia... Kijijini kuna wakulima zaidi ya elufu 10 cha ajabu mbolea ya ruzuku iliyotolewa na serikali ni mifuko 40 tu!!

2. Wahitimu vyuoni wanalia..... Mwaka wa tatu sasa serikali haijaajili na ukizingatia serikali ndo muajili Mkuu.

3. Wanafunzi wa Elimu ya juu hivi sasa wengi wao hawana mikopo na wengine wameacha kauendelea na Elimu ya juu tofauti na ilivyo kuwa kwa JK...

4. Hakuna Miundo mbinu inayoanzishwa mpya zaidi ya ile inayokamilishwa iliyoachwa na Jk....

5. Vyombo vya habari hivi sasa vina chaguliwa habari ya kutangaza ikiwa na kuzima bunge live

6. Sector ya afya imedolola hakuna maspecialiast wala dawa za uhakika....

7. Watu wachache kuwa na kinga Sheria isiwaguse.... Mf brother Kinda

Dada naomba uniweke Sawa au utuweke sawa .....

Magufuli katoka kwa MUNGU kweli?!?

na unavyosema uongozi wake uko sawa inamanisha hauyaoni haya!?!?
 
Si kweli.

Uislam haufundishi ugaidi wala haufungamani na kundi lolote la kigaidi.

Uislam unafundisha:

Qur'an 5:
32. Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.

33.Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.
Jihad ni nini, kwa nani na kwanini?
 
Naam, hizo ni chemchem za maji moto, zipo sehemu mbali mbali Tanzania na zipo nyingi sana na sehemu mbali mbali duniani. Kingereza zinajulikana kama "hot water springs" au "geysers".

Zingine zinakuwa za moto sana kiasi hakuna awezae kuzioga na zingine huwa vuguvugu na watu huweza kuoga.

Kutibu mapele ni kutokana na "minerals" virutubisho vilivyomo kwenye hayo maji.

Kuna chemchem kama hizo nyingi watu huamini kuwa kuna mizimu na huenda kufanya ada zao za kishirikina hapo.

Nchi zingine ni vivutio vikubwa vya utalii na utakuta sehemu kama hizo zimejengewa vizuri sana na watu huenda kujiburudisha kwa kuoga kwenye hayo maji ya moto:

dc0129f615830e85c36e263b9e6e902a.jpg

61.jpg

Ni maji yaliyoingia chini ya ardhi kutokea ardhini na kufika kwenye miamba ya joto/moto na kurudi tena juu yakiwa ya moto. Tazama:

95629-004-7EF6B7AB.jpg

Soma uzi huu pia: Maajabu ya maji Moto kisaki(Hot spring)
Faiza shikamooooo we Nouma umenijibu vzr sana asanteeee
 
Usiwe na sababu ya kumpenda wala kumchukia ila ndio baba wa Taifa lako
Cheo cha u "baba" hatuna katika Uislam isipokuwa baba'ko aliyekuzaa tu.

Hicho ni cheo cha kikanisa kuna mlolongo wa Ma baba. Kuna "baba Mungu" kuna "Baba Mtakatifu" kuna "baba" (padri), kuna "baba askofu", sasa tena na taifa mnalipa "baba wa taifa".

Majanga.
 
Dah bibi nimejaribu kukupm pasi wewe kunijibu lolote! kumbe kulikuwa na uzi huu dah hakika nimekufahamu kwa kiasi fulani.
Heshima yako bi mkubwa.
 
Back
Top Bottom