Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

mwanamke akijilipua mabomu kama alshaabab (akafa na wengi)...naye anapewa bikira 72 wa-kiume?
 
mwanamke akijilipua mabomu kama alshaabab (akafa na wengi)...naye anapewa bikira 72 wa-kiume?
Wakati wa Mtume Muhammad (S.A.W) hakukuwa na mabomu, pia wanawake hawakuruhusiwa kupigana vita, waliokua wanaahidiwa hao mabikra ni wanaume tena kwenye vita tena walikua wanaambiwa endapo watapigana hadi kufa kwenye vita sio kama ulivyomaanisha ww kua uue watu wengi wasio na hatia hilo halikubaliki kwenye uislam hata akifanya mwanamme.
Allahu aa'lam
 
mwanamke akijilipua mabomu kama alshaabab (akafa na wengi)...naye anapewa bikira 72 wa-kiume?

Qur'an 28:55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga. Maelezo
 
Umeuliza "vigezo gani", halafu wewe wenyewe umevianisha, sikuwa na haja ya kuvirudia tena kwa kuwa umeshaviweka, au hilo hujaliona?
Sikutegemea jawabu jepesi kutoka kwako.Kwa kuainisha vigezo nilitemea utafafanua kwa kuzingatia vigezo
Labda tuanzia katika suala la ajira na demokrasia.Kuna mafanikio gani katika hayo masuala?
 
Sikutegemea jawabu jepesi kutoka kwako.Kwa kuainisha vigezo nilitemea utafafanua kwa kuzingatia vigezo
Labda tuanzia katika suala la ajira na demokrasia.Kuna mafanikio gani katika hayo masuala?

Kubaini na kufuta ajira hewa nyingi serikalini ni mafanikio makubwa sana kwa kiwango chochote kile.

Kuweka misingi ya kuwawezesha wafanyabiashara za viwanda kuendelea kuwekeza ni njia nzuri sana ya kuongeza ajira. Tumeyaona hayo kwa Bakhresa na Dangote wazi wazi.

"Demokrasia" unaweza kuitafasiri upendavyo, ni neno moja la kisiasa lenye kutafsiriwa tofauti tofauti na kila alitumiae.
 
Vipi kuhusu suala la rc wa dar na vyeti feki? Ww unasemaje kwa ufupi maana wapinzani wetu wameishikilia sana gia hyo
 
Mambo ya RC wa Dar. nijuavyo yapo bungeni, sijaiona ripoti ya bunge kwa hiyo siwezi kulisemea hilo kwa sasa.
Asante sana

Unapendelea shughuli gani yakukupa kipatao kizuri cha maisha?

Pia biashara ganibhasa hulipa kama una mtaji wa kawaida mfano 2mils
 
Asante sana

Unapendelea shughuli gani yakukupa kipatao kizuri cha maisha?

Pia biashara ganibhasa hulipa kama una mtaji wa kawaida mfano 2mils

Binafsi napendelea kwanza kilimo, halafu kuwekeza kwenye "low risk investments".

Biashara za msingi wa millioni mbili ni nyingi sana kinadharia, kiuhalisia kuna swali la kiutendaji linajitokeza.

Biashara kila inavyokuwa na msingi mdogo ndiyo inahitaji muda mwingi sana kuitenda. Unaweza kuanza kufuga kuku kwa msingi huo lakini inataka uwe unaifanyia kazi sana na si kutegemea mtu akufanyie.
 
Binafsi napendelea kwanza kilimo, halafu kuwekeza kwenye "low risk investments".

Biashara za msingi wa millioni mbili ni nyingi sana kinadharia, kiuhalisia kuna swali la kiutendaji linajitokeza.

Biashara kila inavyokuwa na msingi mdogo ndiyo inahitaji muda mwingi sana kuitenda. Unawezza kuanza kufuga kuku kwa msingi huo lakini inataka uwe unaifanyia kazi sana na si kutegemea mtu akufanyie.
Asante kwa kuwa na nia njema kama hyo
 
Huwa wanasema unatamani kuwa kama nani (hasa watoto) Mimi nataka kuwa kama wewe Faiza Foxy(nadhani unajua wewe ni mtu wa aina gani humu JF),mambo gani ya muhimu ya kuzingatia ?
 
Kubaini na kufuta ajira hewa nyingi serikalini ni mafanikio makubwa sana kwa kiwango chochote kile.

Kuweka misingi ya kuwawezesha wafanyabiashara za viwanda kuendelea kuwekeza ni njia nzuri sana ya kuongeza ajira. Tumeyaona hayo kwa Bakhresa na Dangote wazi wazi.

"Demokrasia" unaweza kuitafasiri upendavyo, ni neno moja la kisiasa lenye kutafsiriwa tofauti tofauti na kila alitumiae.
Asante kwa majibu mazuri na ya kina.Swali moja la nyongeza na la mwisho kuhusu wafanyakazi hewa.Ndugu yetu RC Bashite alilivalia njuga suala la watumishi hewa na wengi wakafukuzwa bila huruma.Leo kuna tuhuma kuwa Bashite nae ni mtu aliyeghushi hati zake za elimu.Ni kwa nini hajatenguliwa au kuna matabaka Tanzania?
 
Back
Top Bottom