Gis expert
Member
- Jan 11, 2014
- 28
- 6
habarini wana jf, kwanza nataka kusema kwamba tuache kutoa hukumu bila kujua jambo ambalo linalomsibu muhusika,tuwe tunafikiria chanya lakini pia naomba radhi kwa kuwa mmekuwa na shahuku ya kutaka kujua bei ya upimaji hivyo basi nalifanyia kazi suala la kuweka wazi gharama zote za upimaji na usajiri wa ardhi.
habarini wana jf, kwanza nataka kusema kwamba tuache kutoa hukumu bila kujua jambo ambalo linalomsibu muhusika,tuwe tunafikiria chanya lakini pia naomba radhi kwa kuwa mmekuwa na shahuku ya kutaka kujua bei ya upimaji hivyo basi nalifanyia kazi suala la kuweka wazi gharama zote za upimaji na usajiri wa ardhi.
Haitegemei ukubwa wa eneo?GHARAMA ZA KUPIMAADRHI KWA PLOT MOJA
INFORMATION FORSURVEY WORK:
Visiting site: Tsh.150, 000/=
Hiring tools: Tsh.300, 000/= per day
Surveyor charge: Tsh. 500, 000/=
Labor charge: Tsh.100, 000/=
Beacon Tsh.10, 000/= @1
Data + cartographic materials: Tsh.100, 000/=
Transport: Tsh.100, 000/= but it depend on the distance tobe travelled to sites
SUB TOTAL: Tsh.1, 300,000/=. Total hii imepigwa Kwa beacons tano lakini minimum beacons ni nne.
OFFICE WORK:
Licensed surveyor fee: Tsh.100, 000/=
Survey instruction: Tsh.100, 000/=
File compilation: Tsh.100, 000/=
Land officer: 50,000/=
Survey check two: Tsh.50, 000/=
Submission fee: Tsh.20, 000/=
Survey approval: Tsh.100, 000/=
GRAND TOTAL: Tsh.1, 820,000/=
Hivyo basi kwa tathimini hiyo gharama halisi inaweza rangekuanzia Tsh.1, 000,000- Tsh.2, 000, 000 kutegemeana na ugumu wa kazi na mahali site ilipo,kuhusugharama za kupima mashamba mara nyingi huwa tathimini yake inafanyika baada yamtaalamu kuangalia site ilivyo lakini kwa kawaida kwa ekari moja huwainagharimu kiasi kinachoanzia laki 700, 000 mpaka 1,000,000 kutegemeana namakubaliano ya mteja na mtaalamu baada ya utasmini wa gharama husika kufanyika.
Hiyo nimetoa kama roughly coast wana jf,kwamaelezo Zaidi napatikana kwa namba 0714238436
hapo nimeanisha gharama za kupima plot moja tu ambayo ipo katika standard za mgawanyiko wa aina ya viwanja lakini kwa ukubwa za hapo basi pia huwa kuna gharama zake tofauti na hizo kutegemeana utasmini wa gharama. kuhusu kupima mashamba ni lazima uhakikishe unapata kibali au uthibitisho kutoka kwenye serikali ya kijiji husika na kuhusu upatikanaji wa hati huwa hakuna muda maalumu uliowekwa isipokuwa inategemeana na ukubwa wa kazi na foleni za watu wanaofuatilia hati wizarani. nafikri nimekujibu maswali yako?Haitegemei ukubwa wa eneo?
Kuhusu upimaji wa shamba, mpka mwenyekiti au mtendaji awepo? ... maana huwa wanakimbia hawa jamaa na hawapendi watu wapime mashamba. Shamba lisilo pimwa ni dili kwao.
Mwisho, process nzima mpaka nipate hati inachukua muda gani?
YES!hapo nimeanisha gharama za kupima plot moja tu ambayo ipo katika standard za mgawanyiko wa aina ya viwanja lakini kwa ukubwa za hapo basi pia huwa kuna gharama zake tofauti na hizo kutegemeana utasmini wa gharama. kuhusu kupima mashamba ni lazima uhakikishe unapata kibali au uthibitisho kutoka kwenye serikali ya kijiji husika na kuhusu upatikanaji wa hati huwa hakuna muda maalumu uliowekwa isipokuwa inategemeana na ukubwa wa kazi na foleni za watu wanaofuatilia hati wizarani. nafikri nimekujibu maswali yako?