Faida za tunda la ukwaju

du mshauriwa mbishi huyooo. inaonekana mzinzi mwenzio ke yake kubwa sana, so hugusi maana zile nazo zipo tofauti ndugu. akiendelea kusema hivyo siku kunywa nyagi+nzanzi+supu ya pweza+korosho+ grants = goli kama la van persie. ataimba nyimbo za kwao za wakati wa kuvuna.
 
mkuu ahsante ila huo mchanganyiko kuna baadhi situmii hasa hizo pombe zako za sanzi na konyagi!
 
Mzizimkavu naona leo umeamua kutufanya tu-salivate
mimi mtu angenitumia dagaa tu au sato ningemuona wa maana sana..
 
dk wangu MziziMkavu ...dawa zako naziaminia ila kuna zingine unanichanganya!
nisile kitu si nitafia kifuani kwake jaman?
Ulinifunda nikafundika, mechi naiweza...kubanduka chini ya dk 45 ni mwiko kwangu,lakin hapa imekuwa kazi bure...yaan ni kama kuweka dustbin wodi ya vichaa!
Nimekupa dawa yabure ukitaka dawa ya kuchelewa kufika kileleni ninayo ninauza kwa shillingi laki 1 na nusu nitafute kwa njia ya email baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
huyo ni dokta wangu hata yeye atashangaa kuona huyu mtoto hakolei,kwa sababu MziziMkavu kanifunda vya kutosha!!

Kumbe mkuu, hongera-use natura roots/fruits/leaves. Nimekuwa nikifuatilia sana analysis za@MziziMkavu kwa muda mrefu kweli huwa nazipenda sana . Nadahani atakuwa Herbal Doctor.
 
Ukwaju huo ukisagwa halafu utiwe pilipili mbuzi kidogo na chumvi ni chachandu safi sana kwa nyama choma au bajia, ukiutaka ntakutumia kwa DHL
 
Nimekupa dawa yabure ukitaka dawa ya kuchelewa kufika kileleni ninayo ninauza kwa shillingi laki 1 na nusu nitafute kwa njia ya email baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

ahsante sana dokta, nafurahi maana bado unanijali
ikishindikana hii uliyonipa itabidi nikutafute
ila nasikitika leo nami naitwa muhanga wa haya mambo
 
Kumbe mkuu, hongera-use natura roots/fruits/leaves. Nimekuwa nikifuatilia sana analysis za@MziziMkavu kwa muda mrefu kweli huwa nazipenda sana . Nadahani atakuwa Herbal Doctor.

uko sahihi kabisa, dawa zake zimenifanya niwe fiti kama salenda bridge
 
Inaongeza nguvu na akikueleza juu ya juis ya tende usikatae inaonekana nguvu zako kidogo mkuu fanya mazoezi walau mara tatu kwa wiki

mkuu tende juisi yake inatengenezwaje?
Ahsante sana kiongozi!
 
Faida za juice ya ukwaju.

Ni chanzo kizuri cha viuasumu mwilini
'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani
(cancer)
2Chanzo cha Vitamini B na C vile vile
"carotentes"
3 Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo.
4 Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni.
5 Husaidiamyeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa.
6 Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders).
7 Husaidia kurahisisha choo (laxative).
8 Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo.
9 Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda.
10 Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto
wadogo)NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom