Faida za tunda la ukwaju

mkuu itabidi uendelee na ukwaju uliowiva upatikanao huko supermakets - huu mbichi tuachie sisi
 
Simuelewi mpenzi baada ya sex, ananiambia nitumie juisi ya ukwaju ila sielewi sababu ya kuniambia hivyo hataki kunieleza, ila kasema sijamridhisha.

Kwa yeyote anayejua kazi ya hii jusi aniambie tafadhari mdau wenu niko confused!

========

Mkuu Majigo Mpenzi wako wa kike kakuona humridhishi kitandani unafika haraka kileleni wakati yeye bao hajamaliza raha yake kakupa ushauri utumie juisi ya ukwaju kwa sababu ina Vitamin b ni nzuri kwa kuongeza nguvu za kiume.

FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU


NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU.

Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarkets. Andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu

Ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe

Weka sukari kwa kiasi unachopendelea pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa.


FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.

Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)

Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"

Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo

Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni

Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa

Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)

Husaidia kurahisisha choo (laxative)

Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo

Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda

Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)

Mimi ninakupa Ushauri wangu ukitaka usifike kileleni mapema na uwe na nguvu ya kumfikisha mpenzi wako kileleni usile chakula masaa 6 kabla ya kufanya mapenzi na huyo mpenzi wako hutoweza kufika wewe kileleni mapema na utakuwa na nguvu za ajabu atashangaa mpenzi wako fanya uje unipe fedback.
 
Inaongeza nguvu na akikueleza juu ya juis ya tende usikatae inaonekana nguvu zako kidogo mkuu fanya mazoezi walau mara tatu kwa wiki
 
Inaongeza nguvu na akikueleza juu ya juis ya tende usikatae inaonekana nguvu zako kidogo mkuu fanya mazoezi walau mara tatu kwa wiki

mazoezi kwangu ni kila siku, natoka kifuani kwake mpaka zipite dk 45, kiufupi mi nimekamilika sekta zote, x wangu ananisakama mpaka leo... anasema hakuna kidume kama mimi
 
wakuu nipeni mbinu ya kuongeza nguvu za Kike, nahisi anajishtukia huyu!!
 
Hawezi kukwambi utumie juice huna nguvu wewe

mi nina kila mbinu za kumfikisha mtoto wa kike na ndio maana ma-x bado wanalisoteas penzi langu
ila huyu , nimegundua ana matatizo yake!
Kudumu dk 45 si mchezo ujue!
Natoka hapo hoi vibaya, lkn matokeo ni ziro!
 
Ubaya ni kwamba umeomba kushauriwa lkn unabisha tena. Inashangaza unavyojipalilia. Sasa usitafute ujiko wa kumshambulia mtu ambaye hawezi kujitetea humu jf. La sivyo mlete hapa kwny jukwaa tumsikie na yeye. Unatukera bana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom