Faida za tunda la ukwaju

ha ha ha....walikuwa hawajakuelewa kabisaa ulivyosema ni hatari..kumbe unamaanisha ni hatarin kwamba unahamasisha na kuleta hamu ya mambo ya kikubwaaa. weka mbali na watoto
Acheni kuwa kama tomaso,hiyo kitu inaamsha popo masaa24
..kwa wanaotaka ushuhuda wanipe madem zao waone kma kipa achubuki...yeluuwiiii hapa nimetka kunywa :banghead::banghead::banghead:
 
Kwa wale wanaoijua watakubaliana na mimi...hii juice ni hatar kwa mazoezi ya chumbani.
...

Kwa hiyo ndiyo juice ya ukwaju ndiyo iliyokuharibu mkuu? Mi siamini, sisi tumekulia kwenye miti ya ukwaju tulikuwa tukitafuna ukwaju live ukiachilia mbali juice nzitoo ya ukwaju na sukari mnaiba kiduchu tu lakini bado tunasimamia show mpaka uzeeni, wewe nadhani iliyokuharibu ni juice aina ya losheni bafuni!
 
Na Hicho ndicho alichomaanisha mtoa mada ila wengi hawajamfaham

Mtoa mada hajui kujieleza neno 'hatari' lina matumizi tofauti, kuna kutoa onyo na kusifia. Maelezo yake hayaweki wazi alichomaanisha hasa.
 
Acheni hizo mambo. kunywa juisi ya pilipili uone mambo, Msedede unasimama hata uweke tofari haushuki. Ninoma mazee.
 
800px-Tamarind2.jpg
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom