Mentor nimekuelewa kiongozi
nitazingatia ushaur wako,ahsante sana
lkn ikumbukwe mimi ni mmoja kati ya watoa somo kwa wenye matatizo ya kusex humu, na wengi wamefaidika kwa elimu ninayowapa!!
Ma ex wako walikufichia siri na ndo maana walisepa ila huyu muungwana kakueleza ukweli. Inawezekana unakaa dakika 45 ila amekubana tu wewe unajisifia tu. Pole kaka tafuta hiyo juisi
kweli hili tatizo..hii juise nishushie na kitu gani na kwa mda gani ili nikamilishe dozi?
Ahsante kiongozi,ila mi ndie niliwabwaga ma-x na bado wanalisotea penzi langu!
Hao maX walikuwa wanakuibia ndomana hawakukwambia Ukweli ila huyo wa sasa ndo anakupenda kweli anataka GAME yakumtosheleza sio Kumletea miGUVU km KULI..? ckia ndugu kila Mwanamke anasehemu yake yenye Utam naniwachache sn wanaosema Wengine wanakuacha uitafute mwenyewe Km huijui ndo hivyo unaishia kujitapa kuwa Makini MZIGO utabebwa huo shauri yako...!!
Mentor nimekuelewa kiongozi
nitazingatia ushaur wako,ahsante sana
lkn ikumbukwe mimi ni mmoja kati ya watoa somo kwa wenye matatizo ya kusex humu, na wengi wamefaidika kwa elimu ninayowapa!!
mazoezi kwangu ni kila siku, natoka kifuani kwake mpaka zipite dk 45, kiufupi mi nimekamilika sekta zote, x wangu ananisakama mpaka leo... anasema hakuna kidume kama mimi
Hapo sasa! Basi wewe na huyu mama ukwaju hamna "sexual compatibility" (frequency, energy na style). Endelea kutafuta mpaka upate mnaeendana kama x. Au kama vipi kunywa tu hizo juisi.
sababu ya kuniambia hivyo hataki kunieleza,
ila kasema sijamridhisha!
Kwa yeyote anayejua kazi ya hii jusi aniambie tafadhari...mdau wenu niko confused!!
MkuuMajigoMpenzi wako wa kike kakuona humridhishi kitandani unafika haraka kileleni wakati yeye bao hajamaliza raha yake kakupa ushauri utumie juisi ya ukwaju kwa sababu ina Vitamin b ni nzuri kwa kuongeza nguvu za kiume.
FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU
NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU.
Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarkets. Andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu
Ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe
Weka sukari kwa kiasi unachopendelea pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa.
FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.
Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
Husaidia kurahisisha choo (laxative)
Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo
Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)
Mimi ninakupa Ushauri wangu ukitaka usifike kileleni mapema na uwe na nguvu ya kumfikisha mpenzi wako kileleni usile chakula masaa 6 kabla ya kufanya mapenzi na huyo mpenzi wako hutoweza kufika wewe kileleni mapema na utakuwa na nguvu za ajabu atashangaa mpenzi wako fanya uje unipe fedback.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.