asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Mmmmmh! Nyingi za kufikirika japo kuna umuhimu wa kuoa mwanamke bikra ingawaje hatuili.
Mmmmmh! Nyingi za kufikirika japo kuna umuhimu wa kuoa mwanamke bikra ingawaje hatuili.
Seems like unanijua sana kuliko hata nnavyojijua mie mwenywe.. wapi nmesema kama nmeshawatoa bikra wanawake wawili?? Nilitaka kusex na demu flani ivi lakini akaniambia yupo bikra.. basi nkakataa hapo hapo.
Maskinii. umeninukuu vibaya, hii ni hoja umeleta tuijadili, nilichoongea sijamaanisha wewe ndio mlengwa ila nimelenga wale wote wenye mawazo yakutafuta bikira ili hali yeye sio bikira. kifupi hii ni hoja huru na mlengwa ni mwanamke ndio maana tunaijadili tuwezavyo.
Ok mekusoma.. comment ya juu kabla yako nli comment 'nataka kuoa bikra' so nkajua maybe ulkua unanjibu mie. #peace
Umeona enh.. yaani hadi karaha.. mie Mungu anjaalie npate mke bikra.. la sivyo sioi
Hayo niliyoyaongea ni kutoka na wide field of unofficial research.. na hayo yote yana ukwel .. atleast i believe so.
Ila mkuu kiukweli Mada nzuri sana hii,bikra ni heshima ya mwanamke kwake mwenyewe,kwa mumewe,kwa wazazi na kwa Mungu wake.
Umeona enh.. yaani hadi karaha.. mie Mungu anjaalie npate mke bikra.. la sivyo sioi
Ni wewe au macho yangu????
haya naanza kutunza
Nimekutafuta mke wa ujana wangu mpaka nimekata tamaa. Uko wapi ewe sababu ya pumzi yangu??
hahah unaanza kutunza nini sasa... labda bikra ya nyuma!!!!
hahah unaanza kutunza nini sasa... labda bikra ya nyuma!!!!
Mbona tupogo