Faida za kutunza bikra

Faida za kutunza bikra

Hahahah we jamaa sijui umeamka leo tangu ulale miaka ya 80. Yaani wastani umeweka 7 hadi 10 tu! Hivi hawa wadada unawajua au unawasikia? Kwa taarifa yako wenzio wastani siku hizi wanachezea 15-20. Wanaume sasa ndio wala usiseme, maana wastani umepanda hadi totozi 40-50 kabla ya ndoa.

Kimsingi uzinzi umetamalaki sana na mbaya zaidi haufanyiki kwa kurudia rudia na mtu yule yule bali na watu tofauti tofauti. Halafu mbaya zaidi siku hizi kuna kamsemo we ibane tu ikaliwe na nyenyere kaburini!! yaani ni shida.

Hili tatizo litaisha pale ambapo watu wataona uzinzi ni dhambi kama ilivyokuwa hapo nyuma. Na pia kale ka utaratibu ka kuhakikisha mzigo haujapigwa siku ya ndoa japo hili ni gumu maana mchina kashafanya yake. We mwenyewe fikiria siku hizi watu wanapanga kuzaa nje ya ndoa sio kuzini, unaona shida ilivyokuwa kubwa!?
 
Kwa nyakati za sasa hakuna faida anayoipata mwanamke kwa kujitunza maana ukitulia ndo unaonekana poyoyo unaletewa na ukimwi.Wanaume wengine wanatumia kama advantaje wasiachwe wanapofanya vitu vibaya, wengine wanathubutu kusema wanaume wote tupo hivi hivi Ukiniacha utakutana na mwenye tabia mbaya zaidi.

Mwisho wa siku akuletee maradhi. Mi binafsi nasema mwanamke ajitunze kwa ajili yake mwenyewe sio ili kufanya lolote kwa ajili ya mwanaume, maana yupo atakayekubaka na hutajua utadhani ndo mapenzi yalivyo.
 
Nikipata mke bikra sitochepuka kamwe.. ntajiheshimu tulee watoto wetu.
 
Duh !nadhani ungeenda kuunga undugu na mfalme mswati siku anachagua mke nawe unaunga hapo
.Humu nchini zilizopo ni kama mnyama KAKAKUONA coz mabint wenyewe wanahisi kama wanachelewa na vijana wa siku hizi so kama zamani mpaka ujaribu mara kumi siku hizi kila kona au adhabu ndogo waya sio kama enzi zetu ila kila la kheri na bikra search line
..
 
Mwanamke ambaye sio bikra anaboa sana.. na ni aibu kubwa sana kwenye fungate.. yaan n shimo kubwa shidaah sana tunayo sisi vijana tunaotalajia kuoa hivi karibuni.
 
mwanamke ambaye sio bikra anaboa sana.. na ni aibu kubwa sana kwenye fungate.. yaan n shimo kubwa shidaah sana tunayo sisi vijana tunaotalajia kuoa hv karibuni

Utakuwa na kibamia no kibamia kikubwa, kimbilimbi ndo unacho maana maumbile ya mwanamke ni elastic yanajirudi na kutanuka.
Suala la bikra ni sehemu ya mfumo wanaoupenda wanaume wasiojiamini ili amuendeshe mwanamke .
Wakati huu mnapochezea wanawake wa wenzenu na dada zenu wanachezewa, wote majanga kama mnaita janga.
 
Utakuwa na kibamia no kibamia kikubwa, kimbilimbi ndo unacho maana maumbile ya mwanamke ni elastic yanajirudi na kutanuka.
Suala la bikra ni sehemu ya mfumo wanaoupenda wanaume wasiojiamini ili amuendeshe mwanamke .
Wakati huu mnapochezea wanawake wa wenzenu na dada zenu wanachezewa, wote majanga kama mnaita janga.

Anamaanisha dada, binam, shangaz ake kama hakuwa bikra ni shimo? Uwiii, kwa iyo watoto wanatokea mashimoni? Kauli hizi! Anamaanisha bikra ikishatolewa linabaki shimo! so maana yake shimo haliepukiki...kibamia ni janga la taifa.
 
Anamaanisha dada, binam, shangaz ake kama hakuwa bikra ni shimo? Uwiii, kwa iyo watoto wanatokea mashimoni? Kauli hizi! Anamaanisha bikra ikishatolewa linabaki shimo! so maana yake shimo haliepukiki...kibamia ni janga la taifa.

Watu wenye vimbilimbi utawajua tu, akamwambie na aliyemzaa kwamba ana shimo na amuulize baba ake anavyokereka na shimo
 
Mie miss chagga nilimkuta bikira so sahv wadau jipangeni michango tunafunga ndoa hivi karibuni
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha mnavyotafuta bikira,kwani hizi bikira zetu zinatolewa na nani km sio wenyewe wanaume?...kuanzia sasa wekeni mgomo hamtaduu mpk siku ya ndoa km hamtatukuta bikira??!!:nod::nod:
 
Good thought kwani hizo bikira wazitoa na vidole....it takes two to tango. Acheni uzinzi nyie pia, mkitunza zenu nasi zetu tutazificha.
 
Hizi ni simulizi tuu,nani wa kuoa bila kutest hata hao wadada hawakubali, lazima waangalie mashine ipo na inafanya kazi, kwa muda gani iko active.kwanza hata wanaume,bikira ya nini ukuni uchubuke burewatengeneze njia sie tupite bana.
 
Hata mimi nasaka kikombe nikivunje mimi mwenyewe. Nikichukue nikiweke ndani kisijekuliwa na majirani..

Nasaka kikombee eeh nivunje mimi mwenyewe.
 
Am proud with my wife, mama mtoto wangu hiyo hazina uliyonipa ni fahari kweli kweli
 
Hii kitu imekuwa adimu sana zamani mashangazi walitandika shuka nyeupe aah siku hizi katika ndoa 1000bikra mbili duh labda mswati ndo kazitungua nyingi coz vile vitoto wacha k
abisa wengine tunanunua gari za dubai za japan moja kwa moja zimekuwa ghali kuzipata.
Unapata mtu unayefanana nae!
 
Back
Top Bottom