Faida za kuezeka nyumba kutumia vigae

Faida za kuezeka nyumba kutumia vigae

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,349
1587474463656.jpeg

Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu.

Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui.

Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99.

Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
 
Hivi vile viwanda vya kutengeneza vigae bado vipo kweli…?
 
View attachment 1425814

Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu.

Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui.

Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99.

Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
Wanasema ukitaka kupiga Kigae inabidi msingi uwe imara na ulaze tofali ili kuhimili mzigo wa kigae.
 
Back
Top Bottom