Faida ya kutumia juisi ya miwa

Faida ya kutumia juisi ya miwa

k-star

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
541
Reaction score
392
Habari zenu wana jamvi nimekuwa ni mtumiaji wa miwa kwa muda mrefu sasa naomba kufahamishwa faida na hasara za miwa. Nawasilisha karibuni kwa maoni na ushauri.

==========================
Michango
attachment.php

View attachment 139930 View attachment 139930

Uzuri wa juisi ya miwa.

Si hivyo tu, miwa ni jamii ya tunda lenye alkali hivyo lina uwezo wa kupambana na saratani hasa ile ya kibofu cha mkojo na saratani ya maziwa.

Inafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi jijini Dar es Salaam wanaouza juisi ya miwa.

Kimsingi juisi hii ni sukari halisia ambayo haijachakatwa. Sukari halisia ni nzuri kwa mwili kwani ina

virutubisho na madini kwa wingi.

Miwa ina faida nyingi kiafya. Juisi ya miwa inafahamika na wataalamu wa afya kwa kuwa na uwezo wa kuupa mwili nguvu kwa sababu ya glucose' iliyopo.

Kijiko kimoja cha juisi ya miwa, kina kalori 11. Madini halisi na vitamin zinazopatikana katika sukari ni kama phosphorus, calcium, madini ya chuma na potassium.

Si hivyo tu, miwa ni jamii ya tunda lenye alkali hivyo lina uwezo wa kupambana na saratani hasa ile ya kibofu cha mkojo na saratani ya maziwa.

Miwa ina upekee wake kwani ina uwezo wa kuongeza maji mwilini, inaupooza mwili na kuupa nguvu.

Virutubisho vilivyopo katika miwa vina manufaa makubwa katika kusaidia utendaji kazi wa ogani muhimu kama figo, moyo, ubongo na viungo vya uzazi.

Pia, wagonjwa wa kisukari wasihofie sukari iliyopo kwenye miwa kwani haina madhara yoyote kwao. Uzuri wa juisi ya miwa ni kuwa sukari yake ni halisia.

browse-php-2-jpg.145521

Inafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi maeneo tofauti tofauti Nchini mwetu na mitaa tofauti tofauti wanaouza juisi ya miwa.
Kimsingi juisi hii ni sukari halisia ambayo haijachakatwa.
Sukari halisia ni nzuri kwa mwili kwani ina virutubisho na madini kwa wingi.

Miwa ina faida nyingi kiafya. Juisi ya miwa inafahamika na wataalamu wa afya kwa kuwa na uwezo wa kuupa mwili nguvu kwa sababu ya glucose iliyopo.
Kijiko kimoja cha juisi ya miwa, kina kalori 11. Madini halisi na vitamin zinazopatikana katika sukari ni kama phosphorus, calcium, madini ya chuma na potassium.

browse-php-3-jpg.145522

browse-php-4-jpg.145523

Juisi ya miwa ina uwezo mkubwa wa kuipatia miili yetu nguvu kwa haraka na kukata kiu, na hii inasababishwa na sukari "sucrose" ambayo kazi yake kuu ni kutengeneza nguvu mwilini.

Kwa hiyo wakati mwingine ukiwa na uchovu, badala ya kunywa vinywaji vya viwandani tafuta juisi ya miwa itakufaa zaidi.Juisi ya miwa ni tamu lakini pia ni nzuri kwa wagonjwa wa kisukari, kwa sababu juisi ya miwa ina sukari halisi ambayo ina uwezo mdogo wa kuzidisha kiwango cha sukari mwilini au kitaalamu inaitwa "Low Glycemic Index". Kutokana na hilo juisi ya miwa inashauriwa kutumiwa kama mbadala wa vinywaji vingine vya viwandani.

Lakini ni muhimu kwa watu wenye kisukari kutumia juisi hii kwa kiasi kidogo au kulingana na ushauri wa Daktari.Juisi ya miwa ina kiwango kikubwa cha madini ya calcium, magnesium, potassium, chuma na manganese.

Madini haya yana uasili wa ualkali ambao husaidia kupunguza uwezekano wa kupata kansa kama vile kansa ya Tezi dume "Prostate cancer" na kansa ya maziwa "Breast Canser".Juisi ya miwa inasaidia kuongeza kiwango cha protein mwilini na ku-imarisha ufanyaji kazi wa figo.

Juisi ya miwa iliyochanganywa na maji ya Nazi husaidia kupunguza maumivu hasa yanayosababishwa na maambukizi ya ngono na kidney stones.Juisi ya miwa husaidia kulinda maini yasipate maambukizi na Madaktari hushauri matumizi ya juisi ya miwa kwa watu wenye ugonjwa wa Homa ya Manjano.

Juisi ya miwa ina kiwango kikubwa cha madini ya potassium ambayo husaidia kuimarisha mmeng'enyo wa chakula.Juisi ya miwa husaidia kuzuia maambukizi katika tumbo na utumbo.

Juisi ya miwa husaidia kutibu matatizo ya choo kigumu au kitaalamu inaitwa "constipation".Juisi ya miwa husaidia kuzuia meno kuoza na matatizo ya kupumua kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha madini.Juisi ya miwa husaidia kung'arisha meno yako, kunywa juisi ya miwa mara kwa mara.Juisi ya miwa husaidia katika kupambana na mabaka mabaka na kung'arisha ngozi.Juisi ya miwa huweza kutumika kama " face mask na scrub" kwa kuipaka kwenye ngozi na hivyo kusaidia katika kuing'arisha na kuiimarisha uso ,

Sent using Jamii Forums mobile app

================

Kuna faida nyingi za juisi ya miwa. Baadhi ya faida hizo ni kama zifuatazo:

  • Juisi ya miwa ina uwezo mkubwa wa kuipatia miili yetu nguvu kwa haraka na kukata kiu, na hii inasababishwa na sukari "sucrose" ambayo kazi yake kuu ni kutengeneza nguvu mwilini. Kwa hiyo wakati mwingine ukiwa na uchovu, badala ya kunywa vinywaji vya viwandani tafuta juisi ya miwa itakufaa zaidi.
  • Juisi ya miwa ni tamu lakini pia ni nzuri kwa wagonjwa wa kisukari, kwa sababu juisi ya miwa ina sukari halisi ambayo ina uwezo mdogo wa kuzidisha kiwango cha sukari mwilini au kitaalamu inaitwa "Low Glycemic Index". Kutokana na hilo juisi ya miwa inashauriwa kutumiwa kama mbadala wa vinywaji vingine vya viwandani. Lakini ni muhimu kwa watu wenye kisukari kutumia juisi hii kwa kiasi kidogo au kulingana na ushauri wa Daktari.
  • Juisi ya miwa ina kiwango kikubwa cha madini ya calcium, magnesium, potassium, chuma na manganese. Madini haya yana uasili wa ualkali ambao husaidia kupunguza uwezekano wa kupata kansa kama vile kansa ya Tezi dume "Prostate cancer" na kansa ya maziwa "Breast Canser".
  • Juisi ya miwa inasaidia kuongeza kiwango cha protein mwilini na ku-imarisha ufanyaji kazi wa figo.
  • Juisi ya miwa iliyochanganywa na maji ya Nazi husaidia kupunguza maumivu hasa yanayosababishwa na maambukizi ya ngono na kidney stones.
  • Juisi ya miwa husaidia kulinda maini yasipate maambukizi na Madaktari hushauri matumizi ya juisi ya miwa kwa watu wenye ugonjwa wa Homa ya Manjano.
  • Juisi ya miwa ina kiwango kikubwa cha madini ya potassium ambayo husaidia kuimarisha mmeng'enyo wa chakula.
  • Juisi ya miwa husaidia kuzuia maambukizi katika tumbo na utumbo.
  • Juisi ya miwa husaidia kutibu matatizo ya choo kigumu au kitaalamu inaitwa "constipation".
  • Juisi ya miwa husaidia kuzuia meno kuoza na matatizo ya kupumua kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha madini.
  • Juisi ya miwa husaidia kung'arisha meno yako, kunywa juisi ya miwa mara kwa mara.
  • Juisi ya miwa husaidia katika kupambana na mabaka mabaka na kung'arisha ngozi.
  • Juisi ya miwa huweza kutumika kama " face mask na scrub" kwa kuipaka kwenye ngozi na hivyo kusaidia katika kuing'arisha na kuiimarisha uso ,
 
habari zenu wana jamvi. Nimekuwa ni mtumiaji wa miwa kwa muda mrefu sasa naomba kufahamishwa faida na hasara za miwa. Nawasilisha karibuni kwa maoni na ushauri.
attachment.php

juisi ya miwa.jpg
juisi ya miwa.jpg

Uzuri wa juisi ya miwa.

Si hivyo tu, miwa ni jamii ya tunda lenye alkali hivyo lina uwezo wa kupambana na saratani hasa ile ya kibofu cha mkojo na saratani ya maziwa.

Inafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi jijini Dar es Salaam wanaouza juisi ya miwa.

Kimsingi juisi hii ni sukari halisia ambayo haijachakatwa. Sukari halisia ni nzuri kwa mwili kwani ina

virutubisho na madini kwa wingi.

Miwa ina faida nyingi kiafya. Juisi ya miwa inafahamika na wataalamu wa afya kwa kuwa na uwezo wa kuupa mwili nguvu kwa sababu ya glucose' iliyopo.

Kijiko kimoja cha juisi ya miwa, kina kalori 11. Madini halisi na vitamin zinazopatikana katika sukari ni kama phosphorus, calcium, madini ya chuma na potassium.

Si hivyo tu, miwa ni jamii ya tunda lenye alkali hivyo lina uwezo wa kupambana na saratani hasa ile ya kibofu cha mkojo na saratani ya maziwa.

Miwa ina upekee wake kwani ina uwezo wa kuongeza maji mwilini, inaupooza mwili na kuupa nguvu.

Virutubisho vilivyopo katika miwa vina manufaa makubwa katika kusaidia utendaji kazi wa ogani muhimu kama figo, moyo, ubongo na viungo vya uzazi.

Pia, wagonjwa wa kisukari wasihofie sukari iliyopo kwenye miwa kwani haina madhara yoyote kwao. Uzuri wa juisi ya miwa ni kuwa sukari yake ni halisia.
 
browse-php-2-jpg.145521

Inafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi maeneo tofauti tofauti Nchini mwetu na mitaa tofauti tofauti wanaouza juisi ya miwa.
Kimsingi juisi hii ni sukari halisia ambayo haijachakatwa.
​
Sukari halisia ni nzuri kwa mwili kwani ina virutubisho na madini kwa wingi.

Miwa ina faida nyingi kiafya. Juisi ya miwa inafahamika na wataalamu wa afya kwa kuwa na uwezo wa kuupa mwili nguvu kwa sababu ya glucose iliyopo.
Kijiko kimoja cha juisi ya miwa, kina kalori 11. Madini halisi na vitamin zinazopatikana katika sukari ni kama phosphorus, calcium, madini ya chuma na potassium.

browse-php-3-jpg.145522

Si hivyo tu, miwa ni jamii ya tunda lenye alkali hivyo lina uwezo wa kupambana na saratani hasa ile ya kibofu cha mkojo na saratani ya maziwa.
Miwa ina upekee wake kwani ina uwezo wa kuongeza maji mwilini, inaupooza mwili na kuupa nguvu.

browse-php-4-jpg.145523

Virutubisho vilivyopo katika miwa vina manufaa makubwa katika kusaidia utendaji kazi wa ogani muhimu kama figo, moyo, ubongo na viungo vya uzazi.
Pia, wagonjwa wa kisukari wasihofie sukari iliyopo kwenye miwa kwani haina madhara yoyote kwao. Uzuri wa juisi ya miwa ni kuwa sukari yake ni halisia.
​
 
Attachments

  • browse.php(2).jpg
    browse.php(2).jpg
    6.9 KB · Views: 4,245
  • browse.php(3).jpg
    browse.php(3).jpg
    7.3 KB · Views: 4,123
  • browse.php(4).jpg
    browse.php(4).jpg
    8.7 KB · Views: 3,854
Hayo mabarafu ukitaka juice freshy mimi nanunua lita moja kwa sh. elfu 5000 freshy nikifika ananitengenezea bila kuchanganya na maji. Ni nzuri kwa afya na ni dawa kubwa ya Ugonjwa wa Ini (Manjano) ukinywa unapona na nilikuwa na nunua hiyo almost 1 year kwa mgonjwa na sasa kapona kabisa.
 
Bongo kweli pagumu juice ya miwa buku tano?!! Ulinywea Kempski!!
Duh....

MKUU umemsoma vizuri??

bei hiyo yaweza kuwa sawa coz Lita 1 anayonunua yeye ni fresh kabisa haijachanganywa na hata tone la maji.
but unayokunywa ww 500 kwanza inakuwa haijafika Lita 2 asilimia zaidi ya 70% ni maji
 
Back
Top Bottom